GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #41
Sina tafsiri sahihi, lakini kwa kujaribu, naweza kusema ni uwezo wa kufanya maamuzi.Swali lako la ajabu! Unajua akili nini hadi mimea iwe na akili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina tafsiri sahihi, lakini kwa kujaribu, naweza kusema ni uwezo wa kufanya maamuzi.Swali lako la ajabu! Unajua akili nini hadi mimea iwe na akili?
Plants have specialised sensory organs known as mechanoreceptors that detect mechanical stimulation like touch and pressure. Mechanoreceptors in plants often take the form of fine hairs.Huo hapo chini ni mche wa tunda la PASHENI. Inafahamika kuwa katika ukuaji wake, hutambaa juu ya miti au egemeo litakalokuwa jirani yake. Nilikuwa nasubiri ukue vya kutosha ndipo niuwekee egemeo. Lakini nimeshangaa kukuta umeshajisogeza kwenye fensi na kuendelea kukua kwa kuukwea.
Hakuna mtu aliyeuelekeza upande huo. Na kwa mazingira ya eneo hilo, nilitarajia ungekua kwa kuelekea upande wa Magharibi, badala ya Mashariki ambako ndiko kulipo na fensi.
Umewezaje kutambua kuwa egemeo lipo upande wa Mashariki na kuamua kuufuata bila usaidizi wa binadamu?
Je! Mimea ina akili?
Mimea ina macho au namna ya kuhisi?
Kuna tafiti za Kisayansi zilishawahi kufanyika kubaini kama mimea ina uwezo wa utambuzi?
✅🙏🙏🙏Plants have specialised sensory organs known as mechanoreceptors that detect mechanical stimulation like touch and pressure. Mechanoreceptors in plants often take the form of fine hairs.1
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuja shehe Ponda hapa ama wafuasi wake na kukuambia kuwa ni majini ya Allah ndiyo wanafanya hivi, allahamdulillah!Huo hapo chini ni mche wa tunda la PASHENI. Inafahamika kuwa katika ukuaji wake, hutambaa juu ya miti au egemeo litakalokuwa jirani yake. Nilikuwa nasubiri ukue vya kutosha ndipo niuwekee egemeo. Lakini nimeshangaa kukuta umeshajisogeza kwenye fensi na kuendelea kukua kwa kuukwea.
Hakuna mtu aliyeuelekeza upande huo. Na kwa mazingira ya eneo hilo, nilitarajia ungekua kwa kuelekea upande wa Magharibi, badala ya Mashariki ambako ndiko kulipo na fensi.
Umewezaje kutambua kuwa egemeo lipo upande wa Mashariki na kuamua kuufuata bila usaidizi wa binadamu?
Je! Mimea ina akili?
Mimea ina macho au namna ya kuhisi?
Kuna tafiti za Kisayansi zilishawahi kufanyika kubaini kama mimea ina uwezo wa utambuzi?
Acha uongoMimea ina nguvu ndani yake,ipo mimea usinyaa ikiguswa,ipo mimea hula wadudu akitua tu inajifunga analiwa,ipo mimea ina nguvu za kuzuia nguvu za wachawi na majini wasiweze kuingia eneo nyumba au shamba.
Ipo mimea inayovutia nyoka na isiyovutia pia.
Ipo mimea ndani ya nyumba kama hakuna amani haikui inasainyaa,ipo mimea uleta bahati,nk
[emoji419][emoji375]Mimea ina nguvu ndani yake,ipo mimea usinyaa ikiguswa,ipo mimea hula wadudu akitua tu inajifunga analiwa,ipo mimea ina nguvu za kuzuia nguvu za wachawi na majini wasiweze kuingia eneo nyumba au shamba.
Ipo mimea inayovutia nyoka na isiyovutia pia.
Ipo mimea ndani ya nyumba kama hakuna amani haikui inasainyaa,ipo mimea uleta bahati,nk
Soma saikolojia ya mimeaAcha uongo
😀😀😀Soma saikolojia ya mimea
😀😀😀Atakuja shehe Ponda hapa ama wafuasi wake na kukuambia kuwa ni majini ya Allah ndiyo wanafanya hivi, allahamdulillah!
Madam umekosea!Mimea ina akaili kuliko Mtanzania anayeona kuwa mzayuni ni mjomba wa mungu wake.
Waambie labda watakuelewa.Madaam umekosea!
Wayahudi si wajomba zake Mungu.