Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Ukiona mambo yako yamejifunga ya utafutaj au ktk biashara zako au katika kaz zako ww tafuta mti huu wa kivumbasi wengi hupenda kuita mwinura yani muinua mambo kausha saga au nenda maduka asili nanunue ulio sagwa kisha tumia kuoga na kuchoma tena chemsha ndio vzr kisha oga tumia siku 7 na kuendelea kwa siku mara moja nakwambia kuanzia siku ulio oga tu utaanza kuona mrejesho
 
kivumbasi

kwa mwenye maradhi ya kipanda uso
Chukua majani ya kivumbasi yaponde kisha kamua Maji yake utajipaka kichwani shida hii itaisha Inshaallah

•Kubanwa na kifua au shida ya upumuaji
chukua majani ya kivumbasi na ndimu ambayo iko vilevile haijakatwa utachemsha pamoja utakuwa unakunywa kwa ujazo wa kikombe kidg cha chai kutwa ×2 siku 3
•PRESHA YA MAJINI yani wale wako na presha hadi 200 halfu wanafagia na kupika
Chukua majani ya kivumbasi na punje za vitunguu thaumu punje 11 au 21 utasaga kwenye Brenda kama juice kisha utaichuja kama utakuwa ni mtu wa imani ya kiislam isomee dawa hii aya za ruqya kam unaweza LA sio muislam basi utakunywa hivyo hvyo na hakuna tabu
Tumia glass asubh na nyngine jioni siku3
 
Hii 👆 👆nzuri sana mkuu.
 
Saws
 
TIBA YA KIDONDA SUGU KISICHOSIKIA DAWA HATA KIDONDA CHA KISUKARI TUMIA DAWA HII.

Chukua mizizi ya huo mmea anika juani ikikauka saga upate unga wake halafu utakuwa unaweka kwenye kidonda chako kutwa mara 2 ndani ya siku 7-14.

Hata kama kidonda ni chamda mrefu utapona haraka Sana.
 
MALIZA MAWE KWENYE FIGO, JITIBU TEZI DUME KEA KUNYWA HII JUICE KWA SIKU 14

Chukua nyanya Moja

Maji ya Dafu

Weka kwenye blenda Saga vizuri

Hamishia kwenye glass Kisha kunywa

Huu mchanganyiko ni mzuri saaana una madini mazuri yenye uwezo WA kusafisha figo vzr na Kwa UHARAKA zaidi kama haujafika katika hatua mbaya

Je utajuaje una shida ya FIGO katika hatua za awali? Somo litakujia kesho

Jitibie nyumbani hospital zipo Kwa watu wasiojua miti ya asili na asili ya mtu mweusi ni HAYO tuu.
BRAZA CHOGO Tumwesige senior

Pia kalibu sana jijini wasap

 
Kwa WAJAWAZITO👇

Karoti unaweza kutumia kutafuna mbichi, kama kiungo cha mboga pia unaweza kusaga kama juisi vyote sawa tu.

Kutafuna ni nzuri zaidi ikifuatiwa na kusaga juisi kwani husaidia 👇

1. Huimarisha afya ya macho.
2. Huongeza kinga ya mwili (immunity booster).
3. Kuimarisha afya ya fizi na meno kwa WAJAWAZITO wanaoumwa meno hadi kufikia kuwaza kung'oa meno hii inawafaa zaidi.
4. Inasaidia afya ya ngozi ya mtoto tumboni na hata mama mjamzito.
5. Hutibu kansa ya damu yaani leukaemia.
6. Hutibu presha kipindi cha ujauzito.

Faida namba ngapi imekuvutia zaidi wewe?.
 
KAMA WEWE NI CHA POMBE NA UNAHITAJI KUACHA POMBE DAWA HII HAPA

Tafuta kituunguu chekundu red onions

Kata kata vipande

Tafuta bia uipendayo

Mimina kwenye glass mix na vile vitunguu

Weka katika fridge ilale Hadi kesho yake

Kunywa bia Yako masaa 24 baadae

Kitakachotokea utatapika balaa matapishi yenye harufu itakayokuondolea hamu ya bia maisha Yako yote

Najua Kuna mjukuu wangu hajapenda ugunduzi huu WA dawa hii muhimu ila kuliko ulewe uanguke kwenye mitalo ujikojolee ni Bora unywe hii dawa

Kuliko unywe umalize Hadi pesa za Ada ni Bora unywe hii dawa ili kiu ya pombe ikuondoke

Hii dawa ndiyo nilimtengenezea Piele Liquid Hadi leo ameacha pombe

Kazi kwenu dawa nimewaekekeza alafu niwakute mnayumba njiani bila utulivu kama Kasongo ni mwendo WA fimbo tuu
 
Majani ya machungwa hutibu..

🌿kukosa usingizi
🌿Upungufu wa nguvu za kiume
🌿malaria
🌿kipandauso
🌿wasiwasi
🌿Cholesterol nyingi
🌿Kinga ya chini
🌿maumivu ya hedhi

Chemsha majani mabichi/makavu ndani ya maji na unywe kikombe cha chai mara mbili kwasiku
 
Warning Usipokula chakula kama dawa jua tuu utakula Dawa kama Chakula

Hizi MBEGU za Papai zinatibu mambo MENGI sana zitumie mjukuu wangu usizitupe kuanzia leo

FAIDA YAKE NI HII

1. TIBU TYPHOID
2. TIBU INI
3. VIDONDA VYA TUMBO
4. MMENG'ENYO WA CHAKULA
5. ONDOA SUMU MWILINI
6. NGOZI YENYE MVUTO
7. MIFUPA IMARA
8. ZUIA UZEE
9. UGUMBA
10. HEDHI POA

Namna ya kuandaa 👇🏽👇🏽

Namna ya kuandaa ni rahisi sana.

.Kausha mbegu
.saga mbegu

Weka maji kiasi kama Lita Moja.

Changanya malimao 3.

Tulia ipoe.

Kunywa asubuhi na mapema kabla hujala.
Kunywa usiku ukiingia kitandani

🔥🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…