Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 640
- 1,141
Ufugaji wa ndevu ninaamini tuliuanza miaka kadhaa.
Kabla yetu walifuga wazee wetu. Nimeamua kukata na kuwa na kidecu na mdogo kama uch.i wa mbuzi. Kunyoa ndevu zote kunafanya unakuwa sura kama ya mbuzi. Mdogo na kidevu ndio kabsaaa.
Siku hzi vijana wameiga yaani inaboa na haivutii nahisi tangu demu wa zamani wa diamond alivyotoka na yule mmarekani midevu basi wabongo wanafuga midevu kama hawana akili, wengine wameenda mbali zaidi na sasa wanaweka kauchebe flan hivi.
Kwangu mie imetosha sasa. Doto12 Uch wa mbuzi inatosha