Mimi binafsi nakutakia safari njema baba, japo sina uwezo wa kuambatana na wewe

Dada NAHUJA usijali nakutumia ticket ya ndege leo jioni.
 
Anaenda kufanyiwa orientation ya kuchukua nafasi ya mzee Pengo, kwa kuwa Mzee Pengo anatarajiwa kustaafu mwakani mapema kabisa.
Anaandaliwa kuchukua nafasi ya Pengo
Jina la bwana lihimidiwe na Kaskazini tumetoa Kadinali πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Jina la bwana lihimidiwe na Kaskazini tumetoa Kadinali πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
Sijui kama hilo jambo litakuwa limemfurahisha kaka yule!!!! hahahahaah. Ila ndio hivyo Rwaichi atakuwa kardinali Mungu akipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…