Mimi binafsi nakutakia safari njema baba, japo sina uwezo wa kuambatana na wewe

Mimi binafsi nakutakia safari njema baba, japo sina uwezo wa kuambatana na wewe

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,970
Reaction score
35,168
Wanajf salamu kwenu.

Naandika thread hii ya kumtakia baba Askofu Rwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza ambaye amehamishiwa Jimbo kuu la DSM Safari njema..

Tarehe 6/9/2018 ndio safari itaanza rasmi hapa Mwanza ya kumsindikiza baba kuelekea Dar. Safari imeratibiwa vizuri. Waamini/Walei ambao wanataka kumsindikiza baba askofu kwa yule ambaye yuko tayari anatakiwa kuchangia nauli yake ya kwenda na kurudi kiasi cha Tshs.90,000/=.

Nahuja mie, natamani kwenda lakini vyuma vimeshika vibaya.

Natamani sana na mie niunge kwenye hiyo safari ili nikaione Dar maana sipajui kabisa, wanasema nikiwa Dar ni kama niko kwa Trump.

Naombeni mniunge mkono kwa kunichangia changia pesa nyingi ili nije huko Dar.
kivyako, Castr, Ushimen kabanga Ambiele Kiviele, Shunie mshipa Da'Vinci espy Mshana Jr Maxence Melo, SANCTUS ANACLETUS masara
kolelosi
 
Subiria michango itamiminika utimize kiu yako ya kumsindikiza baba Askofu, BUT nina wasiwasi kidogo yawezekana dhumuni ni kufika kwenye jiji la Dar😀😀😀
 
Watafikia wapi huko waendako...dar watu wako busy sana ukiwaambia umefika...ila wanakuwa na nafasi ukiwaambia uko njiani unarudi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa ni safari ambayo ina ratibiwa na Jimbo Kuu la Mwanza - Katoliki, utaratibu ni kwamba wasindikizaji watalala pale Msimbazi na sehemu zingine. Ni safari ambayo kila muumini katika Jimbo letu la Mwanza anaruhusiwa kwenda ali mradi vigezo na masharti kuzingatiwa. Hata askofu atasafiri kwa basi, watalala Morogoro then asubuhi yake Dar.
 
Umesema kweli mkuu Mpekuzi17, yaani baada ya kuibuka hiyo safari na mimi ndio nimeona ni "gap": zuri la kuijua DSM😀😀😀😀😀😀
Nilijua tu coz siku zote mbona hujawahi kupandisha uzi huu kuomba msaada wa nauli kuja kuliona jiji, by da way nam natamani sana kuja Mwanza kuangalia hayo majabali yaliyofanya mji ukaitwa 'Rock City"😀😀
 
Hata mimi napatamani kweli[emoji39]
Mwanza ni pazuri japo sio kama Dar.
Mwanza uzuri wake hasa upande wa hoteli. Kuna hoteli nyingi sana, nzuri halafu bei yake ni nzuri sana.
Pia Mwanza hakuna msongamano.
Sio kama Dar, nakumbuka kipindi fulani nilikuwa naishi hapo Dar tena katikati Posta jengo la Jojis club yaani ilikuwa nikienda kunywa vibia vyangu Kimara kwa mashosti, foleni ya kurudi posta, mkojo wa bia, hadi nashuka njiani kwanza nikojoe then nipande tena gari.
 
Tutakuwakilisha tu usijali, kuja Dar kwa sasa acha tu, hata hivyo makao makuu yamehamia dodoma hivyo nauli yake ni 35 mwanza hadi dodoma nadhani usipojiunga na bando la kuingia JF kwa miezi miwili tu utakuwa umekusanya hicho kiasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutakuwakilisha tu usijali, kuja Dar kwa sasa acha tu, hata hivyo makao makuu yamehamia dodoma hivyo nauli yake ni 35 mwanza hadi dodoma nadhani usipojiunga na bando la kuingia JF kwa miezi miwili tu utakuwa umekusanya hicho kiasi

Sent using Jamii Forums mobile app
jamaniiiiii!!!!!
 
Back
Top Bottom