baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo anatuhumiwa kwa mauaji anaunda Tume ya kujichunguza? Kwenye hiyo Tume na wajumbe wake wananchi walikua wanawakilishwa na nani? Tume ambayo haina mwakilishi aliyechaguliwa na wananchi kuwawakilisha na kuja na ukweli hiyo mnawezaje kuita Tume? Tume ambayo ina wawakilishi wa Upande mmoja inawezaje kua Tume?