PostGE2025 Mimi binafsi riport ya Tume ya Jaji Chande naona kama wamepoteza kodi zetu kuandaa ujinga

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo anatuhumiwa kwa mauaji anaunda Tume ya kujichunguza? Kwenye hiyo Tume na wajumbe wake wananchi walikua wanawakilishwa na nani? Tume ambayo haina mwakilishi aliyechaguliwa na wananchi kuwawakilisha na kuja na ukweli hiyo mnawezaje kuita Tume? Tume ambayo ina wawakilishi wa Upande mmoja inawezaje kua Tume?
 
Hivi kuna mjinga kuliko wewe.

Unajiandikia tu sidhani kama hata hiyo ripoti unayo na umeisoma yote.
 
Huo ndio ukweli mchungu
 
Ya baba yako Mzazi inawasilishwa lini? Tuisikilize?
 

View: https://youtube.com/shorts/qOANi7gjoqw?si=voZtSPxkW-59wog3
 
Wewe mkuu ni mpumbavu mjinga sana sjapenda kauli yako uliotumia.ungejikita kutoa elimu nasie tusioelewa tukapata cha kujifunza mnaharibu JF
Wewe hunizidi kwa ujinga mpumbavu wewe mjinga mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…