Mimi binafsi sijaelewa hii hoja kuwa Watanzania mnamnyanyapaa Rais Samia. Aliyeelewa atusaidie

October 29 2025, labda wewe ulikuwa ukihangaika kuiba madumu ya gesi na kuchoma moto vituo vya kupigia kura.
Umemsikia yule Mama alivyosema mbele ya Tume? Alienda kupiga kura akakuta watu watano tu. Pamoja na kupiga kula mkapiga risasi.
 
Kwani aliyesema hakuna nywi nywi nywi na Serikali kupitia polisi na Jeshi wamejipanga ni nani? Si Samira Suluhu Hassan ? ...
Zile kauli zote tata alizotizoa kabla ya uchaguzi fake zilikuwa haziwanyanyapai walengwa ambao ndio waliomuweka madarakani?....
 
Umemsikia yule Mama alivyosema mbele ya Tume? Alienda kupiga kura akakuta watu watano tu. Pamoja na kupiga kula mkapiga risasi.
Yale yalikuwa machafuko, vijana walijaribu kuiga uhuni uliofanyika kule Sri Lanka na Madagascar bila ya kujua nguvu ya mfumo mzima wa ulinzi wa TZ upo vipi.
 
Huna akili. Unatumia makalio kufikiri.
Nyinyi mnaodhani mnaweza kuipindua serikali kwa hizi harakati za kipuuzi za kuchoma moto mali za watu mnatumia nini kufikiri?.

Mnapigwa vyuma kwa wingi, mlidhani mnaweza kuipindua nchi kwa kutegemea machafuko yake?.
 
Ila Samia mwenyewe ndio alisema kwamba walitumia nguvu kutokana na hali iliyokuwepo kwamba wasingekaa na kuangalia tu hadi wanapindua nchi, sasa wewe unasema tofauti.
 
Time will tell, mwenzio museveni kashalikoroga huko soon kitanuka
 
Kumnyanyapaa mtu ni jambo baya sana.

Lakini inadaiwa kuwa tangu Oktoba 29 Watanzania mmekuwa mkimnyanyapaa rais Samia sababu tu ni mwanamke.

Je ni kweli?

Chanzo cha mjadala, soma>> Mwenyekiti wa CCM (Singida): Acheni kumnyanyasa Samia, tangu achaguliwe mnamzuia kufanya kazi
Hakuna hoja hapo hiyo habari ni uchawa Pro Max tu.

Na ni uchawa wa kijinga sana, kwa sababu umefanywa kumtetea Samia, lakini unachofanya ni kuonesha wazi kuwa Samia hakubaliki na watu wengi.
 
Labda ni pale Col. Augustine Polepole alipomshauri ajiongezee ulinzi 🥺
 
Yale yalikuwa machafuko, vijana walijaribu kuiga uhuni uliofanyika kule Sri Lanka na Madagascar bila ya kujua nguvu ya mfumo mzima wa ulinzi wa TZ upo vipi.
Ule waliofanya ni ujinga, upumbavu, ukatili na kukosa akili.

Unaua raia wa nchi yako kisa nini? Madaraka? Utaongoza mawe kama unaua raia? Ametia watu vilema, amefanya watu wajane/wagane ameua ndoto za vijana wengi. Wale walikua majambazi sio askari mwenye akili. Unaenda kuua mpaka majumbani? Halafu kuna mpuuzi anasimama anasema ulitaka tufanye nini? Stupid.
 
Kilichotokea oct 29 ni mauwaji tu yale mkuu na si mfumo wa ulinzi ule.
Mbona tarehe 9 na 25 Desemba hakufa mtu hata mmoja?.

Mlete vurugu mitaani, muibe na mchome moto kila biashara ya mtu mkishughulikiwa mseme mauaji!.

Ingetokea mkaichukua nchi siku ile kwenu nyinyi ingekuwa poa tu lakini baada ya kudhibitiwa mnaendelea kujiliza.
 
Ule waliofanya ni ujinga, upumbavu, ukatili na kukosa akili.

Unaua raia wa nchi yako kisa nini? Madaraka? Utaongoza mawe kama unaua raia? Ametia watu vilema, amefanya watu wajane/wagane ameua ndoto za vijana wengi. Wale walikua majambazi sio askari mwenye akili. Unaenda kuua mpaka majumbani? Halafu kuna mpuuzi anasimama anasema ulitaka tufanye nini? Stupid.
Stupid ni kile kilicholazimisha kikosi kile kiingie mtaani. Baadhi ya wanasiasa wamesikika wakitamani kukinukisha, hawakujua madhara ya kauli ile yangekuwa makubwa kiasi gani.

Kile kilichotokea siku ile huko DRC huwa maisha waliyoyazoea, watoto wanazaliwa mpaka wanazeeka wakiona unyama ule, sio vitu vya kuombea hata kidogo.

Vita huwa haina macho. Kawaulize vilema kule Angola na yatima kule Somalia walikosa nini mpaka hali zao zimekuwa kama zilivyo.
 
Sasa walikosa maji ya washawasha na mabomu ya machozi?
 
Back
Top Bottom