Mimi binafsi sijaelewa hii hoja kuwa Watanzania mnamnyanyapaa Rais Samia. Aliyeelewa atusaidie

Kumnyanyapaa mtu ni jambo baya sana.

Lakini inadaiwa kuwa tangu Oktoba 29 Watanzania mmekuwa mkimnyanyapaa rais Samia sababu tu ni mwanamke.

Je ni kweli?

Chanzo cha mjadala, soma>> Mwenyekiti wa CCM (Singida): Acheni kumnyanyasa Samia, tangu achaguliwe mnamzuia kufanya kazi

Ananyanyaswa au ananyanyasa?
Yaye na henchmen wake ndiyo wanateka, wanaweka watu mahabusu kwa kuwabambikia kesi, wanafira Watanganyika kwa kuwabaka, wanafanya ufisadi kwenye mali za taifa la Tanganyika, wanateka na wanaua Watanganyika mamia kwa maelfu sasa hapo ni kwamba anayayaswa au ananyanyasa?
 
Mbona tarehe 9 na 25 Desemba hakufa mtu hata mmoja?.

Mlete vurugu mitaani, muibe na mchome moto kila biashara ya mtu mkishughulikiwa mseme mauaji!.

Ingetokea mkaichukua nchi siku ile kwenu nyinyi ingekuwa poa tu lakini baada ya kudhibitiwa mnaendelea kujiliza.
Mimi naita ni mauwaji kwa sababu hao polisi hawakuwa wakichagua ni yupi aliyeiba au kuchoma mali yeyote mbele yao alikuwa ni halali kwao na wameuwa watu wengi kuliko waliyowakamata ilihali hao watu hawakuwa na silaha za moto, sasa unaachaje kuita kuwa hayo ni mauwaji?

Halafu wewe ndio unasema walikuwa wanashughulikia wezi na wachomaji mali ila Rais Samia yeye anasema yaliyokuwa mapinduzi ndio maana anasema hawakuweza kuwaachia hadi wafanikishe hayo mapinduzi ndio maana wakafanya yale mauwaji.
 
Ninavyojua yeye ndiye anawanyanyapaa Watanganyika kwani ameua maelfu ya watoto wao na akawanyima hata fursa ya kuwazika na badala yake maiti zao amekwenda kuzifukia na nyingine kuzichoma moto.
Hivi hili Lucas mwashamba Lucas Mwashambwa analijua kweli?

Mimi ndio naanza kusikia Leo duniani kote kuwa Rais wa nchi anaweza kujishitukia kunyanyapaliwa na wananchi wake kiasi cha kuamua kukimbia ofisini na kujificha kijijini!!
 
Mizimu ya watu zaidi ya 10,000 alioua ndiyo inamnyanyapa na haitatulia hadi afe kifo cha mateso makali sana
 
Mimi naita ni mauwaji kwa sababu hao polisi hawakuwa wakichagua ni yupi aliyeiba au kuchoma mali yeyote mbele yao alikuwa ni halali kwao na wameuwa watu wengi kuliko waliyowakamata ilihali hao watu hawakuwa na silaha za moto, sasa unaachaje kuita kuwa hayo ni mauwaji?

Halafu wewe ndio unasema walikuwa wanashughulikia wezi na wachomaji mali ila Rais Samia yeye anasema yaliyokuwa mapinduzi ndio maana anasema hawakuweza kuwaachia hadi wafanikishe hayo mapinduzi ndio maana wakafanya yale mauwaji.
Hao waliokuwa wanachoma moto kila walichokiona mbele ya macho yao lengo lao lilikuwa baya kwa uwepo wa JMT, lengo lao lilikuwa baya kwa dola ya Tanzania.

Jiulize kwanini wale vijana walioshtakiwa walipewa kesi ya uhaini hawakupewa kesi nyingine yoyote, mfumo ulikuwa ukipambana na uhaini, ulipambana na machafuko yaliyotaka kuleta mapinduzi.

Ni bahati mbaya mapolisi waliua vijana wengi wasio na hatia lakini hali ilikuwa imeshachafuka, walichofanya ni sawa na kile kinachofanywa na ICE kule USA wanapiga risasi raia wasio na makosa, wanabaka kinamama hovyo.

Labda mafunzo mabaya, labda bangi inayovutwa wakati wa kazi. Hali ilikuwa mbaya tunaendelea kumuomba Mungu isije tena ikatokea siku ya kishetani kama ile ya tarehe 29 October.
 
Kwahiyo sasa hivi unakubali kwamba vijana wangeweza kupindua nchi kwa kule kuchoma tu vitu moto na kuiba mitungi ya gesi?

Inalalamikiwa nguvu iliyotumika ni kubwa mno, hiyo hali mbaya walikuja kuileta polisi maana hawakuwa tena wakizuia uhalifu bali wao ndio walikuwa wakiwatafuta watu wa kuwauwa.
 
Heche alisema uchaguzi hautafanyika kabisa, Lissu mapema alishasema tutakinukisha nchi nzima.

Unaipiga vipi mikwara serikali yenye kila aina ya ulinzi na kila aina ya silaha?. Tumia siasa za hekima ukijifanya kichwa ngumu utaishia kuwaponza baadhi ya wanachama wa chama chako ambao watajikuta wakipoteza maisha.

Makosa makubwa sana kuchoma moto mali za watu wasiokuwa na uhusiano wowote na siasa ya nchi. Vipo vya kujichukulia sheria mkononi lakini sio mpaka kufikia hatua ya kuiunguza nchi nzima.
 
Ninavyojua yeye ndiye anawanyanyapaa Watanganyika kwani ameua maelfu ya watoto wao na akawanyima hata fursa ya kuwazika na badala yake maiti zao amekwenda kuzifukia na nyingine kuzichoma moto.
Hili la kuwafukia na kuwatupa watanganyika kama mbwa ni jambo la kinyama kabisa. Yaani serikali imekanyaga desturi zote za makabila ya nchi hii, dini zote na misahafu yake na taratibu zote za kibinadamu katika dunia na kuwageuzi wananchi wake waliouwa kuwa mahayawani. Tumeona majambazi yakiuliwa kwenye harakati zao za kupora, wauaji wabakaji wote wakifa wakizikwa kibinadamu makaburini, lakini watu waliouliwa MO29 wametupwa na kufukiwa bila ndugu zao kujua. Iran pamoja na kuwaua waandamaji wake lakini tulionyeshwa walivyostiriwa kwa staha- Kibanadamu.
 
Heche alisema uchaguzi hautafanyika kabisa, Lissu mapema alishasema tutakinukisha nchi nzima.

Unaipiga vipi mikwara serikali yenye kila aina ya ulinzi na kila aina ya silaha?. Tumia siasa za hekima ukijifanya kichwa ngumu utaishia kuwaponza baadhi ya wanachama wa chama chako ambao watajikuta wakipoteza maisha.

Makosa makubwa sana kuchoma moto mali za watu wasiokuwa na uhusiano wowote na siasa ya nchi. Vipo vya kujichukulia sheria mkononi lakini sio mpaka kufikia hatua ya kuiunguza nchi nzima.
Kwahiyo hiyo ndio imewapa uhalali jeshi la polisi na wao kuamua kufanya mauwaji hata kwa wasiohusika kwa sababu kuna watu wamechoma mali hadi za watu wasiohusika?
 
Hili la kuwafukia na kuwatupa watanganyika kama mbwa ni jambo la kinyama kabisa. Yaani serikali imekanyaga desturi zote za makabila ya nchi hii, dini zote na misahafu yake na taratibu zote za kibinadamu katika dunia na kuwageuzi wananchi wake waliouwa kuwa mahayawani. Tumeona majambazi yakiuliwa kwenye harakati zao za kupora, wauaji wabakaji wote wakifa wakizikwa kibinadamu makaburini, lakini watu waliouliwa MO29 wametupwa na kufukiwa bila ndugu zao kujua. Iran pamoja na kuwaua waandamaji wake lakini tulionyeshwa walivyostiriwa kwa staha- Kibanadamu.
Unyama huu Samia aliowafanyia maelfu ya Watanganyika hata Kaburu hakuwahi kuwafanyia Watu weusi zama za ubaguzi wa rangi lakini mwanamke katili wa kizanzibari amewafqnyia hivyo Watanganyika.
 
Kwahiyo hiyo ndio imewapa uhalali jeshi la polisi na wao kuamua kufanya mauwaji hata kwa wasiohusika kwa sababu kuna watu wamechoma mali hadi za watu wasiohusika?
Kosa la uhaini lilifanyika siku ile ya 29 October, unapofanya uhaini unahatarisha maisha yako mwenyewe, unapotaka kuipindua nchi huo unaitwa uhaini.

Adhabu ya uhaini ni kufungwa jela au kupigwa risasi. Kile kile kilichowakuta vijana kule Iran majuzi, pamoja na kule Uturuki miaka michache kabla.
 
Sasa ile tume imeundwa ya nini?
 
Sasa ile tume imeundwa ya nini?
Kupata ushahidi uliokamilika. Pia kwa mujibu wa sheria za kimataifa ilikuwa lazima SSH aunde tume vinginevyo hao ICC wangeweza kumkamata kama walivyowakamata Kenyatta na Ruto baada ya yale mauaji ya 2007 kule Kenya.

Majirani zetu hawakuunda tume baada ya yale mauaji.
 
Samia anataka ushahidi upi kutoka kwenye hiyo tume? Maana yeye ndio analaumiwa kwa yale mauwaji sasa mtuhumiwa tena anaundaje tume yeye mwenyewe ya kumchunguza yeye mwenyewe halafu uite ni ushahidi?
 
Unaposema analaumiwa maana yake upo ushahidi kwamba serikali ilifanye ule unyama kwa asilimia mia moja, kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia yenye kuhusishwa na suala zima la zile vurugu.

Kuna mfumo mzima wa usalama TISS upo kazini siku zote, unakuwa na taarifa kuliko hizi hisia zetu tunazoziandika mara nyingi kishabiki.
 
Back
Top Bottom