Habari wadau.
Najua nitawaudhi wengi ila naomba tu Uhuru wa maoni uzingatiwe.Mwalimu Nyerere kitu kikubwa alichofanya ni kupigania Uhuru hapa namshukuru sana.
Baada ya Uhuru Nyerere akaturudisha kwenye ukoloni mpya mpaka leo hatujawahi kujitawala na bado mapambano ya kupata Uhuru yanaendelea.
Ndo maana utasikia Nyerere alijenga viwanda, viwanja vya mpira au utasikia Raisi Samia atoa billion 5 kufanya kitu fulani unajiuliza Samia ametoa wapi fedha.
Kwa hiyo wananchii hatuna sauti kwenye nchi yetu alafu unataka tumuenzi MWALIMU kwa kazi gani kwa sababu ata wakoloni walijenga miundombinu kibao Lakini tulitaka waondoke.
Kwa hiyo ata mabomba ya maji yakitoa maziwa huwezi kumsifu kiongozi iwapo anatawala yeye mwenyewe Sio kwa matakwa ya wananchii au misingi ya kidemokrasia atakuwa anapaka rangi upepo na historia haiwezi kumkumbuka.