The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Umesha shiba mihogo yako ya mia tano na maji ya mia hivyo ukaona uje ucheue huku JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True dat.Tulifanya makosa makubwa sana kuwafukuza wazungu ndugu yangu. Angalia South Africa walivyonufaika na uwepo wa wale wadachi mpaka sasa. Tulichopaswa kupigania ni usawa tu na sio kuwafukuza na kuanza kujiongoza ilhali nafsi zetu zimejawa na nepotism, uchoyo na ubinafsi.
Laiti kama South Africas wangethubutu kuwafukuza wazungu, basi wangekuwa kama the rest of sub Saharan Africa.
Nibaada ya kustaafu, kashapiga kazi kusini mwa Afrika kote , alikuwa anaenjoi tu sasa,Nyerere alikuwa anapiga Castle lager anashushia na Champagne na anapata utulivu mkubwa tu na kutema madini, ila vijana wa Sasa Castle light 4 tu mnaanza kutukana watu.
Mbona unaji-contradict? Unataka uhuru upi mwingine tofauti na huu uliouonyesha hapa? Unataka kwa mfano unapokuwa upo KARIAKOO watu wakikuona wawe wanakupatia loudspeaker unaanza kuhutubia?Habari wadau.
Najua nitawaudhi wengi ila naomba tu Uhuru wa maoni uzingatiwe.Mwalimu Nyerere kitu kikubwa alichofanya ni kupigania Uhuru hapa namshukuru sana.
Kwa hiyo wananchii hatuna sauti kwenye nchi yetu alafu unataka tumuenzi MWALIMU kwa kazi gani kwa sababu ata wakoloni walijenga miundombinu kibao Lakini tulitaka waondoke.
🙏Safi sana mkuu. Be blessed.
Wengi hawawezi kukuelewaHabari wadau.
Najua nitawaudhi wengi ila naomba tu Uhuru wa maoni uzingatiwe.Mwalimu Nyerere kitu kikubwa alichofanya ni kupigania Uhuru hapa namshukuru sana.
Baada ya Uhuru Nyerere akaturudisha kwenye ukoloni mpya mpaka leo hatujawahi kujitawala na bado mapambano ya kupata Uhuru yanaendelea.
Ndo maana utasikia Nyerere alijenga viwanda, viwanja vya mpira au utasikia Raisi Samia atoa billion 5 kufanya kitu fulani unajiuliza Samia ametoa wapi fedha.
Kwa hiyo wananchii hatuna sauti kwenye nchi yetu alafu unataka tumuenzi MWALIMU kwa kazi gani kwa sababu ata wakoloni walijenga miundombinu kibao Lakini tulitaka waondoke.
Kwa hiyo ata mabomba ya maji yakitoa maziwa huwezi kumsifu kiongozi iwapo anatawala yeye mwenyewe Sio kwa matakwa ya wananchii au misingi ya kidemokrasia atakuwa anapaka rangi upepo na historia haiwezi kumkumbuka.

Kwa kauli hii moja tu,nimekuchukulia kama kijana mla chips uzao wa DSM ambao baadhi yenu kama wewe hamjitambui kabisa.
Ni nani wewe ambae huwezi muenzi binadamu mwenzako ambae watu wa kariba mbalimbali tofauti Duniani wanamuheshimu na kumuenzi?
Je!
Unamaanisha kwamba hata wale wanaomuenzi Mwalimu Nyerere,kwako wewe ni wapumbavu?
Wewe ni kizazi cha mtu aliyewahi kumiliki vyeti feki bila
Unamkumbuka kiongozi kwa sababu ya maji ya bomba? Kila mtu anapata huduma ya maji ya bomba?,too lowKwa hiyo ata mabomba ya maji yakitoa maziwa huwezi kumsifu kiongozi iwapo anatawala yeye mwenyewe Sio kwa matakwa ya wananchii au misingi ya kidemokrasia atakuwa anapaka rangi upepo na historia haiwezi kumkumbuka.
Kwa kauli hii moja tu,nimekuchukulia kama kijana mla chips uzao wa DSM ambao baadhi yenu kama wewe hamjitambui kabisa.
Ni nani wewe ambae huwezi muenzi binadamu mwenzako ambae watu wa kariba mbalimbali tofauti Duniani wanamuheshimu na kumuenzi?
Je!
Unamaanisha kwamba hata wale wanaomuenzi Mwalimu Nyerere,kwako wewe ni wapumbavu?
Wewe ni kizazi cha mtu aliyewahi kumiliki vyeti feki bila shaka.View attachment 2387001