Mimi binafsi simuenzi Mwalimu Nyerere

Umesha shiba mihogo yako ya mia tano na maji ya mia hivyo ukaona uje ucheue huku JF.
 
True dat.
 
Nyerere alikuwa anapiga Castle lager anashushia na Champagne na anapata utulivu mkubwa tu na kutema madini, ila vijana wa Sasa Castle light 4 tu mnaanza kutukana watu.
Nibaada ya kustaafu, kashapiga kazi kusini mwa Afrika kote , alikuwa anaenjoi tu sasa,
 
Marehemu anasemwa..

Ametufelisha pakubwa Sana ...

Tumejikuta tulipo kutokana na mawazo/fikra za jana ...
 
Mbona unaji-contradict? Unataka uhuru upi mwingine tofauti na huu uliouonyesha hapa? Unataka kwa mfano unapokuwa upo KARIAKOO watu wakikuona wawe wanakupatia loudspeaker unaanza kuhutubia?
 
Kwa hiyo ata mabomba ya maji yakitoa maziwa huwezi kumsifu kiongozi iwapo anatawala yeye mwenyewe Sio kwa matakwa ya wananchii au misingi ya kidemokrasia atakuwa anapaka rangi upepo na historia haiwezi kumkumbuka.
Kwa kauli hii moja tu,nimekuchukulia kama kijana mla chips uzao wa DSM ambao baadhi yenu kama wewe hamjitambui kabisa.

Ni nani wewe ambae huwezi muenzi binadamu mwenzako ambae watu wa kariba mbalimbali tofauti Duniani wanamuheshimu na kumuenzi?

Je!
Unamaanisha kwamba hata wale wanaomuenzi Mwalimu Nyerere,kwako wewe ni wapumbavu?

Wewe ni kizazi cha mtu aliyewahi kumiliki vyeti feki bila shaka.
 

Attachments

  • 1665737119455_1665737119456.mp4
    185.2 KB
Wengi hawawezi kukuelewa
 

Unamkumbuka kiongozi kwa sababu ya maji ya bomba? Kila mtu anapata huduma ya maji ya bomba?,too low
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…