Sababu zangu ni hizi:-
1. Wamefikisha umri wa kustaafu, hivyo wakalee wajukuu zao.
2. Wanaziba nafasi za vijana.
3. Wao ndiyo wamelifikisha taifa hapa lilipo Sasa wanagombea ili iwe Nini tena?
Naitwa G4N naomba kuteuliwa kuwa katibu mwenezi.
Endapo nitateulowa nitafanya yafuatayo.:-
1. Nitaondoa wazee wote kwenye chama. Mwanachama hai anapaswa kuwa kati ya miaka 18 na 55 basi. Zaidi ya hapo aondoke. Hii itasaidia kutoa fursa kwa vijana wanaomaliza masomo yao kupata nyadhifa ktk chama.
2. Nitafuta mtindo wa mtu kuteuliwa tena baada ya kutenguliwa. Akitenguliwa mara moja tu basi hatokaa ateulowe tena maisha yake yote.
3. Wabunge wote wenye umri wa miaka 55 na kuendelea (umri wa kustaafu huu) wataachia nafasi zao na hawataruhusiwa kugombea tena.
Nipe I nafsi hii nieneze chama.