Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

Huo ni ushirikina acha Mara moja huwezi kujisifu kwa kujipaka najisi kiasi hicho
 
Sijasoma ila mkuu wewe unatatizo la afya ya akili
 
Yani wewe ndio umedhihirisha ule usemi wa kuruka mkojo na kukanyaga mavi. Japo wewe umeufanya kinyume, umeanza na kupakwa mavi ukasafisha kwa mkoja.

Halafu maskini ya Mungu kuna viumbe wataamini, hasa wanawake na kuanza kukinga mikojo ya asubuhi. Halafu anakutana na njemba busy kupiga mabusu kumbe anabusu kojo
 
Kiuhalisia hii hela haitalipika huku uswahilini itakuwa ni kama kodi ya majengo
 
Haya ndio magonjwa ya akili tunayosema yanaongezeka kila uchao.

Sasa una nawaje mkojo jamani.
 
Hahahah aisee. Kuna vitu vinafurahishaa.
 
Ulipakwa mavi mkuu ukajiosha kwa mkojo???
Dunia ina vijimambo kwa kweli.

Japo siwezi kubisha wala kukubaliana nawe, ila naamin siwezi kubisha nisichokijua ila naweza kupinga kukikubali tu kama sijapata evidence za kutosha kunishawishi.

Kuna uzi wa maajabu ya chumvi ya mawe niliusoma humu JF baada ya kuusoma nilifanya tafiti zingine nikaridhika naku jaribu matokeo yake yalikuwa yakupendeza.
 
Kumbe sasa chumvi haifai inabidi kujiongeza,

Inaaminika kuwa huo huo mkojo wa asubuhi ni tiba ya maradhi kadhaa wa kadha.
 
Bora wewe unanawa kuna jamaa alikua anakunywa kabisa mkojo wake 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…