Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

Tamaa tamaaa tamaaaaaaaa sina cha ziada zaidi ya ukiishinda tamaa umeyashinda majaribu madogo madogo kama haya
 
Bora wewe unanawa kuna jamaa alikua anakunywa kabisa mkojo wake 🤣
Haichekeshi nilipatwa na kwikwi ndani ya siku mbili kipindi nafanya kilimo cha vitunguu huko karatu, just imagine kwikwi siku mbili mfululizo.
Kuna mmama mmoja akanambia iyo ni ishara ya kurogwa so for your own safety kunywa mkojo wako.
Ukizingatia sijui hata mganga anafananaje ikanibidi nikapiga shots zangu za mkojo ndani ya masaa ma2 kwikwi imekataaa kabisaa yaaan
 
Kwahyo allah ndo kakuambia unawe nabmkojo ipo siku huyo allah wako atakuambia utanuliwe marinda ili ufankiwe na utakubali na ndo mwanzo wa ww kula dozi bila mapumziko
Kua mstaarabu kidogo yeyw kasema hayo kwa maono yake mjibu yeye kama yeye hayo maswala ya kukashifu majina ya Mwenyezmungu unaleta udini kua na nidham kuheshim dini zote kila mmoja anaabudu kwa anavoona yeye na Mwenyezmungu ni mmoja tu aloumba ardhi mbingu na kutuumba sisi sasa usiwe unakufuru hivyo kijana
 
Kwahyo allah ndo kakuambia unawe nabmkojo ipo siku huyo allah wako atakuambia utanuliwe marinda ili ufankiwe na utakubali na ndo mwanzo wa ww kula dozi bila mapumziko
Kuna watu wapumbavu sana rudi kusoma wapi kamtaja Allah
 
Hiko kitendo unachokifanya naamini ushalogwa zaidi mtafute Bwana Yesu Ndugu yangu anaponya 100%
 
Back
Top Bottom