Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu lini umeanza yaamini maandikoNdugu zangu wapenzi msidanganyike, Kila mtu hujaribiwa kwa tamaa yake mwenyewe
Tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwenguTangu lini umeanza yaamini maandiko
Nimekaa ki Rakims ?Tangu lini umeanza yaamini maandiko
Bora wewe unanawa kuna jamaa alikua anakunywa kabisa mkojo wake 🤣Swalama ndugu zanguni?
Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo.
Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali.
Nilichukua uamuzi wa kuacha pombe, nikafunga kula na kunywa kwa siku tatu usiku na mchana.
Nikiwa kwenye siku ya mwisho ya mfungo wangu nikapata maono kuwa sura yangu imepakwa kinyesi kizito cha wanadamu na hivyo ili kumaliza nguvu ya kinyesi hicho na uchawi niliotupiwa ni lazima niwe nanawa sura yangu kwa mkojo wa alfajiri huku nikikuia, nyota yangu waka kama jua, mikosi tuweka nk.
Kwa kweli baada ya kufanya hivyo kwa siku 21 nimeona mabadiliko makubwa sana. Waliokuwa wananidharau sasa wananiheshimu, wanawake waliokuwa wananikataa sasa wanajitongozesha wenyewe, pia pesa napata sana, napewa dili kuliko ilivyowahi kutokea kwenye maisha yangu.
Nakusihi na wewe mwenzangu ambaye una matangitango, tumia njia hii nayo mambo yako yatanyooka.
Kuna demu alikamatwa tukiwa sekondari, akasema ni kinga ya mimba kunywa mkojo wa asubuhi kila sikuBora wewe unanawa kuna jamaa alikua anakunywa kabisa mkojo wake 🤣