Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Swalama ndugu zanguni?

Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo.

Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali.

Nilichukua uamuzi wa kuacha pombe, nikafunga kula na kunywa kwa siku tatu usiku na mchana.

Nikiwa kwenye siku ya mwisho ya mfungo wangu nikapata maono kuwa sura yangu imepakwa kinyesi kizito cha wanadamu na hivyo ili kumaliza nguvu ya kinyesi hicho na uchawi niliotupiwa ni lazima niwe nanawa sura yangu kwa mkojo wa alfajiri huku nikikuia, nyota yangu waka kama jua, mikosi tuweka nk.

Kwa kweli baada ya kufanya hivyo kwa siku 21 nimeona mabadiliko makubwa sana. Waliokuwa wananidharau sasa wananiheshimu, wanawake waliokuwa wananikataa sasa wanajitongozesha wenyewe, pia pesa napata sana, napewa dili kuliko ilivyowahi kutokea kwenye maisha yangu.

Nakusihi na wewe mwenzangu ambaye una matangitango, tumia njia hii nayo mambo yako yatanyooka.
 
Screenshot_20220825-134837.png
 
Hata mitume na manabii walitukanwa matusi makubwa kuliko haya unayotukana wewe
ila mitume na manabii hawakunawia mikojo [emoji23][emoji23][emoji23] yaan muislam mzma unaongea habar za kunawia taka mwili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana nasema ww unaweza hata pelekewa moto kisa unataka madem wakukubali[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hvi kama wenye miaka 35 ndo mnanawia mikojo sasa na wale wadogo zetu under 30 itakuaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kama kweli una 35 aloo jitafakari sana
 
Swalama ndugu zanguni?
Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo.

Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali.

Nilichukua uamuzi wa kuacha pombe, nikafunga kula na kunywa kwa siku tatu usiku na mchana.

Nikiwa kwenye siku ya mwisho ya mfungo wangu nikapata maono kuwa sura yangu imepakwa kinyesi kizito cha wanadamu na hivyo ili kumaliza nguvu ya kinyesi hicho na uchawi niliotupiwa ni lazima niwe nanawa sura yangu kwa mkojo wa alfajiri huku nikikuia, nyota yangu waka kama jua, mikosi tuweka nk.

Kwa kweli baada ya kufanya hivyo kwa siku 21 nimeona mabadiliko makubwa sana. Waliokuwa wananidharau sasa wananiheshimu, wanawake waliokuwa wananikataa sasa wanajitongozesha wenyewe, pia pesa napata sana, napewa dili kuliko ilivyowahi kutokea kwenye maisha yangu.

Nakusihi na wewe mwenzangu ambaye una matangitango, tumia njia hii nayo mambo yako yatanyooka.
Na unategemea watu wakuamini!

Ila sawa kama lengo lako ni kuona coments zitakavyokaa, tumenasa. Hongera mkuu.
 
ila mitume na manabii hawakunawia mikojo [emoji23][emoji23][emoji23] yaan muislam mzma unaongea habar za kunawia taka mwili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana nasema ww unaweza hata pelekewa moto kisa unataka madem wakukubali[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanasema mkojo sio takamwili, jasho, kinyesi...ndio taka mwili.
 
Back
Top Bottom