min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Sana mkuu mini pia nimekufikiri hivyoTafuta comment yangu yeyote niliyowahi sema "kataa ndoa, ndoa ni utapeli"๐
Hivi kwanini watu wananihusisha sana na kataa ndoa? Au nimekaa kikataa ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana mkuu mini pia nimekufikiri hivyoTafuta comment yangu yeyote niliyowahi sema "kataa ndoa, ndoa ni utapeli"๐
Hivi kwanini watu wananihusisha sana na kataa ndoa? Au nimekaa kikataa ndoa
Weee Manyanza ni shekhe mmoja safi sana humu jf.Astaghfirullah โ
Somo la heshima tukisema tukupe marks utapata ngapi ..?Ni kweli mimi naheshimu kila mtu ila mimi kuwa na heshima umebuni tu mkuu๐
Maana naona wengi wakinihusisha na kataa ndoa, nna uhuni wangu ila sio kuwa kataa ndoa. Nitaoa japo najiona kwa kuchelewa sana, mno, kabisa.Sana mkuu mini pia nimekufikiri hivyo
Sure mkuu.Maana naona wengi wakinihusisha na kataa ndoa, nna uhuni wangu ila sio kuwa kataa ndoa. Nitaoa japo najiona kwa kuchelewa sana, mno, kabisa.
Kama nakuona unavyosumbuliwa huko DM na wadada wa JF uwape namba ya mganga wako ๐คฃ๐คฃNilitamani sana kuolewa kama miaka miwili iliyopita.
Na Sasa mungu anakaribia kutenda๐คฃ๐คฃ
Na anaefanya hicho kitendo anaitwa "mrozi" au "mlozi" ?Nimeenda kwenye kamusi ni kuroga na sio kuloga
๐ ๐ ๐"Mganga mungu, mitishamba Imani๐" ndo ninavowajibu
Eeeh lakini sisi wawili tunaujua ukweli wa jinsi ulivyohangaika ๐คฃ๐คฃ"Mganga mungu, mitishamba Imani๐" ndo ninavowajibu
Una shida wewe si bure ๐๐๐Tuombeane in late Magufuli voice
Ukute huyo Shetani ni mwema kuliko sisi tunaemtwishwa hizo kesi ๐๐๐Ni Kama shetani anavyobambikiwa kesi๐
Akatae ndoa ajiunge na upinde siyo?KATAA NDOAAA
Uyasemayo ni kweli kabisa maana kuna dini lukuki hapa duniani zikishindana na shetani mmoja tu miaka yote hii.Ukute huyo Shetani ni mwema kuliko sisi tunaemtwishwa hizo kesi ๐๐๐