Mimi kama Gengis hii ndio misimamo yangu hapa Jf

πŸ³οΈβ€πŸŒˆπŸ³οΈβ€πŸŒˆkumbe upo😁

Unabadirisha majina kama vile malaya wa sinza anavyobadirisha mikao ya kupokea dushelele.

Aya hama uje na ile ID yako nyingine

Tapeli😁
Unamfuatilia mtu ambaye hakufuatilii mpaka unajua majina anayobadilisha hilo linakupa pesa ?

ID gani hiyo ?
 
Nini kimekukuta mkuu? Mbona kama hauko sawa
 
1. Siwezi kuwa na multiple ID . Kwangu naona ni udhaifu na uwoga kivipi mtu ujifiche kwenye vichaka tofauti hauwezi kuFace uhalisia kujiamini sehemu Moja ?
Hii inafanya hat mengine ya chini yakose Credibility.

Kila mtu anajua kuwa ww ni Maghayo Family.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kuna siku ulionyesha screenshot yenye ID 7 ambazo ziko na saved password.

Naona Wenzako wametulia sikuhizi.
Namaanisha ID zako zilitulia. 😎😎😎.

Na ukitaka kujua ni Mtu mmoja.
Hapa katikat hakuna maghayo family aliyekuwa hewani.
umerud Baba na Kiongozi wa maghayo Gengis . Na zenyewe zitarudi.

Ila huna baya na mtu mwanetu.
 
Vip mzee Khan shwari huko hiyo ya kutotongoza kwa sababu upo zako mbali ungekua hapo kwenu Tanga ungetongoza sana kwa sababu ya uhakika wa kupata mali sasa sehemu ulipo mpaka mtu agonge passport unaona itakua miyeyusho tu na kuendelea kununulia pisi simu huku mali haupati ila misimamo yako ipo poa sio ya kipimbi sana..
 
Sogea duka lililokaribu yako uchukue soda nitalipa Mimi.

Elewa title ni Msamo wangu kama "Gengis Khan" na sio nikiwa kwenye machaka mengine nikiwa kama Gengis nabaki hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…