Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Tuache utani wakuu huyu Mimi Mars haimbwi sana midomoni mwa watu na yeye mwenyewe sijui anajichukuliaje but ngoma zake zote zina taste nzuri sana.
Naenjoy "La la la" aliyo mshirikisha Toto bad Marioo and what i can say,this song is a very very good, huyu dada anajua kutupa ngoma kali. Ngoma zake nyingine pia kali kinoma..She is my favourite.
Kwa ambao hamjamzingatia muongezeni kwenye playlist zenu na mumpe sikio.
Keep bringing good music Mimi.