Mimi Mars: The Most Underrated Tanzanian Female Arstist

Mimi Mars: The Most Underrated Tanzanian Female Arstist

Darmian

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
17,289
Reaction score
46,624
Tuache utani wakuu huyu Mimi Mars haimbwi sana midomoni mwa watu na yeye mwenyewe sijui anajichukuliaje but ngoma zake zote zina taste nzuri sana.

Naenjoy "La la la" aliyo mshirikisha Toto bad Marioo and what i can say,this song is a very very good, huyu dada anajua kutupa ngoma kali. Ngoma zake nyingine pia kali kinoma..She is my favourite.

Kwa ambao hamjamzingatia muongezeni kwenye playlist zenu na mumpe sikio.

Keep bringing good music Mimi.
 
Naona kaweka nguvu kubwa kwenye uigizaji anapiga watu na vitu vizito. Halafu wewe unaonekana ni mwenyeji hapa unataka tuanze kukumbusha suala la picha ya muhusika kweli?
 
Manzi anajua sana yule, labda ni vile hana drama drama kama wengine.

Wasanii wa kike wanaotrend sana mitandaoni ni drama tu, hata waliokua wanajua nao wameingia kwenye mkumbo wa kiki.
 
Mangi kafa kaoza kwa mdogo wake Vanessa Mdee.

1654924827186.jpeg

1654924711068.jpeg
 
Ok
Naungana na wewe ana ngoma kali lakini hapati attention sana bora hata wakati dada yake bado yuko kwenye game upepo wa dada ulikuwa unampa support pia kuliko sasa.

Ila mimi nakubali ngona sana, Una, lile beat la badman ukichanganya na marioo na michano ya yule kijana nani yule.

Ukaja ngoma ya haina maana, na ngoma zake zote nazielewa sana.
 
Ok

Naungana na wewe ana ngoma kali lakini hapati attention sana bora hata wakati dada yake bado yuko kwenye game upepo wa dada ulikuwa unampa support pia kuliko sasa.
Ila mimi nakubali ngona sana, Una, lile beat la badman ukichanganya na marioo na michano ya yule kijana nani yule...
Ukaja ngoma ya haina maana, na ngoma zake zote nazielewa sana.
Young Lunya ndo aliweka michano mule kwenye "Una"..bonge la ngoma japokuwa lina some explicits.
 
Kwa upande wangu awekeze nguvu kwa sanaa ya Maigizo. Huku kwa Muziki aliingia kwa ushawishi wa Dada ake, wala hafit kuwepo hata alipo hapo ashukuru Jah na umaarufu wa ndugu ake ume mbeba.

Maria km Maria, Mwanakondoo mwenye mambo yake mjini, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Bado media na watu wengi wanamuona ni "mdogo wake vanessa" kwenye muziki maana hata brand yake hajaitofautisha sana na dada yake.
Unaweza kuona kwenye uigizaji amejenga jina lake faster sababu sister ake hakutawala huko..

2. Haendekezi kiki za kijinga na yupo smart sana, kwa hiyo hatokei kwenye trend za kipuuzi ambazo ndio husaidia kupush muziki kwa sasa

3. Ana nyimbo nzuri kiujumla ila bado hajapata ile major breakthrough kama ya darassa na muziki au maua na iokote.. So yupo zile level za wasanii wakubwa ila hajaingia kwenye top layer

Personally namkubali na ile EX ft mwana fa ndio naikubali zaidi kwa nyimbo zake zote
 
Kwa upande wangu awekeze nguvu kwa sanaa ya Maigizo. Huku kwa Muziki aliingia kwa ushawishi wa Dada ake, wala hafit kuwepo hata alipo hapo ashukuru Jah na umaarufu wa ndugu ake ume mbeba.

Maria km Maria, Mwanakondoo mwenye mambo yake mjini, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unajua kwao Vanessa, vee sio wa kwanza kutoka kwenye media au entertainment industry

Namtero, sister wao alikuwa na jina kubwa kama presenter Kenya na baadae vee akaingia kwenye same route kupitia MTV

Na Mimi Mars nae kapitia humo humo.. Wote walikuwa presenters, Mc's and singers.. Japo vee ndio alikuwa mkubwa zaidi kwenye muziki ila Mariane naona anaenda kuwa mkubwa kwenye film

umaarufu wa sister ake umempush the same wakenya walikuwa wanamuona Vee kama mdogo wake na Namtero mdee..kwa hiyo hivyo vitu ni kama vipo kwenye damu yao Tu
 
Huyo dada yake Vee pia ni gospel singer
 
Back
Top Bottom