Ni actress mzuri sana yani sana. Anajua kuigiza sana yani iko kwenye damu. Na hana mbwembwe na swagga kama za akina eolperMaria kama Maria 😁
Young Lunya ndo aliweka michano mule kwenye "Una"..bonge la ngoma japokuwa lina some explicits.Ok
Naungana na wewe ana ngoma kali lakini hapati attention sana bora hata wakati dada yake bado yuko kwenye game upepo wa dada ulikuwa unampa support pia kuliko sasa.
Ila mimi nakubali ngona sana, Una, lile beat la badman ukichanganya na marioo na michano ya yule kijana nani yule...
Ukaja ngoma ya haina maana, na ngoma zake zote nazielewa sana.
Yah Lunya, sure lina explicits.Young Lunya ndo aliweka michano mule kwenye "Una"..bonge la ngoma japokuwa lina some explicits..
Kwa upande wangu awekeze nguvu kwa sanaa ya Maigizo. Huku kwa Muziki aliingia kwa ushawishi wa Dada ake, wala hafit kuwepo hata alipo hapo ashukuru Jah na umaarufu wa ndugu ake ume mbeba.
Maria km Maria, Mwanakondoo mwenye mambo yake mjini, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo dada yake Vee pia ni gospel singerUnajua kwao Vanessa, vee sio wa kwanza kutoka kwenye media au entertainment industry
Namtero, sister wao alikuwa na jina kubwa kama presenter Kenya na baadae vee akaingia kwenye same route kupitia MTV
Na Mimi Mars nae kapitia humo humo.. Wote walikuwa presenters, Mc's and singers.. Japo vee ndio alikuwa mkubwa zaidi kwenye muziki ila Mariane naona anaenda kuwa mkubwa kwenye film
umaarufu wa sister ake umempush the same wakenya walikuwa wanamuona Vee kama mdogo wake na Namtero mdee..kwa hiyo hivyo vitu ni kama vipo kwenye damu yao Tu