Mimi Mwarabu na sielewi kwanini ulimwengu hauwezi kukubali maumivu ya Kiyahudi

Adui akijificha kwa raia huku anakushambulia wewe utafanyaje?
Kama adui hajali watoto na wanawake wake wewe ndio utajali?
Hata kutoa onyo kwa raia waondoke ni kuonyesha kujali pia. Raia hata kama wanawapenda askari wao linapokuja suala la vita ni habari nyingine. Tafuta pa kuokoa nafsi yako.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Wapalestina hawaanzishi uchokozi! Wachokozi ni hao Mayahudi waliowaondoa hao Wapalestina kwenye maeneo yao, na kuwageuza kuwa wakimbizi ndani ya maeneo waliyokuwa wanaishi kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
Hamas ndio wameyataka yatokee yanayowakuta hao wapalestina hivi sasa.

Wapalestina wameondolewa wapi ikiwa wapo ndani ya utawala waliowakabidhi Hamas?

Ukikubali kuongozwa na chizi lazima utavuna ulichopanda.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Exactly.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kuna vitu unasoma mpaka unajiuliza ujinga wa mwandishi.

Swala la Israel na waarabu, ni ideological war; hakuna tofauti kubwa sana ya Rwanda kati ya Hutu na Tutsi.

21% ya Jews ni waarabu; bado kuna millions ya Jews wanaoishi Iran, Morocco pekee ( ina karibu 1 million Arab Jews) jumlisha Middle East yote ina Jews communities (ambao ni waarabu).

Kuna Arabs Jews wengi ambao awajaenda Israel wakienda waarabu kundi zima la Middle East hapo Israel si ajabu Arab Jews ndio wakawa majority in Israel.

Maana yake nini huo sio mgogoro wa race, ni mgogoro wa itikadi deep down, na jitihada za western supremacy ya kuchukua hilo eneo kuwapa white Jews power.

Jews na Muslim wanamgogoro wao zaidi ya miaka 2000, pamoja na hayo bila ya wazungu waliweza kuheshimiana na kuishi pamoja ndani ya Middle East kwa miaka yote Mpaka Hitler na maeneo mengine ya Europe walipoanza kuwafanyia fujo white Jews na kusababisha warudi Israel tena kwa kuomba ‘Ottoman Empire’ iwapokee (watch ‘Lawrence of Arabia’ the movie).

Moreover mater of fact Arab is the widely spoken language in Israel; japo wanajirabu kupotosha kusema ni Hebrew.

Hamas tactics zao ni ovyo (mengine wanajitakia); Ila behind this mess there’s a white man.

Hiyo ni vita inayosukumwa na ideology kuliko race, na mkakati wa mzungu kwenye ku dominate dunia.

Ni liafrika lijinga sana kama MK254 hili jamaa ni la hovyo na jinga kweli linawoza shabikia haya mambo ya mabeberu yaani zinga moja la fala sijapata kuona, if it was up to me ningelipa ban JF.
 
Mwarabu uliyetafiti tofauti na tafiti nyingine.
Wengi wanawaangalia Wapalestina lakini wewe umethubutu kuongea kwa upande wa Waisraeli.
 
Mayahudi ni majitu makatili tu. Na ndiyo maana hayaoni aibu kuua wanawake na watoto mchana kweupe kwa mabomu, kwa kigezo cha kushambuliwa na Hamas.
Umesahau Hamas walivyochinja wale watoto wa Kiyahudi? Bora kupigwa bomu kuliko kuchinjwa. Hamas ni waovu kuliko Wayahudi.
 
Kidini Jewish na Islam zinafanana sana kuliko Christianity.

Kwa sababu asili yake ni culture ya Middle East.

Jews anakula nyama iliyochinjwa na muislamu (halal); machinjio yao wameajili wa Islam. Na waislamu wanakula na nyama inayochinjwa na Jews (kosher).

Wote wanaoa mabinamu (tells you this is culture, rather than religion).

Kutoka kwa Adam and Eve kwenda kwa Noah, watoto ni wale wale. Tofauti zao ni ndogo sana kushinda Christianity.

Shida ni mzungu, kwenye upotoshaji; he is good on propaganda na wakiristo ambao wengi hawajui hata hiyo biblia imepatikana vipi na kuna version ngapi.

Ukiijua vizuri biblia ilivyoandika toka mwanzo hadi toleo la mwisho; na unyama wa kukipata hiko kitabu.

Salalee kama una akili zako timamu utajiuliza inakuwaje hawa watu walikuwa makatili hivi, usifanye mchezo kwenye kueneza biblia; ukiijua vizuri historia yake. Unaweza achana na ukristo.

Kila mtu aamini anachodhani ni sahihi.
 

Unateseka kuandika andika ilhali kwenye maandiko yenu ndiko chuki ilipo, huko mumeagizwa kuua Wayahudi wote na kila mkijaribu huwa mnauawa sana maana Mungu wao ana nguvu kuzidi wa wa kwenu...

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
 
Wayahudi na Waislamu wako mbali sana,
Wayahudi hawali ngamia na sungura,
Wayahudi wanamtambua Yakobo kama mtoto wa Ahadi wa Ibrahim wakati Waislamu wanamtambua Ishmael,
Wayahudi mpaka leo hawaamini Yesu ameshakuja,
Wayahudi wanatoza riba
 
Wewe ni pumba hujui hata msingi wa hivyo vitabu.

Hujui hata similarities za Jews na Islam.

Unaufahamu hata wa tofauti ya Kosher na Halal

Hujui hata mitume ya Jews na Islam

Unaufahamu hata wa asilimia ngapi ya Middle East ni Jews

Una ufahamu wa culture ya Jews na waarabu zinafanana kiasi gani.

Jews na Islam ni more close, kushinda Christianity.
 

Kwenye vita hakuna busara wala Hekima.
Ukishasema vita vimeanzishwa ujue hakuna busara na hekima tena. Labda hujui maana ya hekima na busara.

Hayo maoni ya busara na hekima unayoyasema hayana maana yoyote linapokuja suala la vita. Kwa sababu Vita ni kinyume na Hekima na busara.

Hata hizo sheria za vita ni sehemu ya unafiki tuu. Vita havina sheria. Vita yoyote ni kinyume na sheria na Haki.
 
Wayahudi na Waislamu wako mbali sana,
Wayahudi hawali ngamia na sungura,
Wayahudi wanamtambua Yakobo kama mtoto wa Ahadi wa Ibrahim wakati Waislamu wanamtambua Ishmael,
Wayahudi mpaka leo hawaamini Yesu ameshakuja,
Wayahudi wanatoza riba
Akili zako sio nzuri Yakob ni Yakubu kwa waislamu na wote ni zao la mzazi mmoja (ndio maana wote ni sawa kuoa cousins). It’s a Middle Eastern culture issue more than religion.

Jews na waislamu wote awali mnyama asie piga chafya; na ndio maana Jewish anaweza kula nyama iliyochinjwa na muislamu tu lakini aendi bucha ya mkristo.

Taratibu za Jews na Islam zinafanana sana kushinda Christianity.

Wengi wenu hamuelewi what Jewish religion is about. It’s close to Islam kuliko Christianity.
 
Kumbe hii Vita iliongelewa na Mtume ..!
Sasa wanalaumu nini wakati kila kilicho tamkwa na Mtume lazima kifanyike.
Na aliruhusu kuuwana wenyewe kwa wenyewe hadi mawe yaongee.

Na bado Mawe hayaja anza kuongea.
 
Uhuu ndiyo UKWELI MTUPU AMBAO HAWA WAARABU/WAISLAM KOKO WA TANZANIA HAWATAKI KUUTAFUTA WAUJUE
NIMEONA KWENYE. TWITTER KUMBE HUYU KIONGOZI WA HAMAS KULE GAZA YAHYA SINWAR ALIKUWA NA SERIOUS BRAIN CANCER AMBAPO ALITIBIWA ISRAEL KWA GHARAMA ZA ISRAEL.

View: https://x.com/DrEliDavid/status/1725972781165068776?s=20
PIA KILE WALICHOKUWA WANADAI WAARABU KUWA 1948 WALIFUKUZWA ISRAEL NI UONGO. ILE ILIKUWA NI NJAMA YA MATAIFA YA KIARABU YALIYOVAMIA ISRAEL 15 May 1948. ILI WAWAUWE WAISRAEL WOTE WALIWAAMBIA WAARABU WENZAO TOKENI TUKIISHA MALIZA KAZI MTARUDI
ONA MAHAMOUD ABBASI ANAKIRI KWENYE HII VIDEO

View: https://x.com/correctedmedia/status/1656795582713798656?s=20Hii notice ya April 1948 ambapo waisrael walikuwa wanawasihi Waarabu wasiondoke; lakini wengi wao wakakataa na kuondoka maana walijiamisha kuwa waarabu wenzao watashinda vita
 
Mayahudi ni majitu makatili tu. Na ndiyo maana hayaoni aibu kuua wanawake na watoto mchana kweupe kwa mabomu, kwa kigezo cha kushambuliwa na Hamas.
Hapo waovu na wanaostahili kulaumiwa ni MAGAIDI ya Hamas.

Kwani hao magaidi walipovamia Israel 7/10, waliua na kuteka askari pekee?

Yaani uuwe na kuteka watu wasio na hatia halafu ukimbilie kujificha katikati ya watoto na wanawake ili usipigwe, uachwe tu siku nyingine urudi kuua tena?! Hiyo ni akili au ujuha?

Hizi dini zinawapofusha sana!!!
 
Sasa kwa nini unamlaumu Hamas kwa kuwaua waIsraeli? Vita hii ilianza miaka 75 iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…