Mimi Mwarabu na sielewi kwanini ulimwengu hauwezi kukubali maumivu ya Kiyahudi

Hujo jamaa ni religious fanatic anapenda kujitoa ufahamu kwenye masuala ya kidini, wakati inajulikana kuwa wewe ni mkatoliki na watu wa dini mbalimbali wamelaani ukatili unaoendelea kufanywa dhidi ya wakazi wa ghaza.
Inashangaza sana. Kuna watu wakiona unapinga uonevu na ukatili unaofanywa na hao wanaojiita Waisrael dhidi ya raia wa Wapalestina; basi unaonekana wewe ni Mwarabu/Muislam!!

Ukionekana unapingana na sera mbovu za CCM nchini, unaonekana wewe ni Chadema/Bavicha, nk. Yaani badala ya watu kujikita kwenye hoja ya msingi (kujadili chanzo cha tatizo, na kuangalia hatua sahihi za kuchukua ili kulimaliza hilo tatizo), wanakimbilia kumu attack mtu! Hovyo kabisa.
 
Haya jibu swali langu la pili;

Unafahamu sababu hasa iliyowafanya hao Hamas kuivamia hiyo Israel! Kuua watu na kuwachukua wengine mateka?

Unafahamu idadi ya Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye jela za Israel kwa makosa ya kiuonevu? Unafahamu idadi ya Wapalestina waliouwawa na majeshi ya Isarel tangu mgogoro wao ulipoanza?

Je, unafahamu Wapalestina wengi wanaishi kwenye kambi za wakimbizi zilizo ndani na nje ya nchi yao, baada ya maeneo yao halali kunyang'anywa na serikali ya Israel na kupewa Walowezi wa Kiyahudi?

Je, kutokana na uonevu wote huu unaona ni sahihi Wapalestina kuishi kama makondoo? Au unafikiri na wenyewe Wapalestina ni makondoo kama tulivyo Watanzania? Let them fight for what they think is right. Na mimi niko upande wao. Ok? Whether you like or not.
 
Tofauti za kidini ndio kiini cha migogoro hapo middle East wakati imani moja ikifikiria kutumia nguvu na kuangamiza yule aliye tofauti naye ndio njia sahihi.
 
Tate mkuu,
Katika mjadala wowote kubali ku-ccommodate watu wenye mtizamo tofauti. Ndiyo, Waparestina wanapigania haki ya ardhi na kujitawala, Israel nayo is Fighting for existence. Kwa jamii ya kimataifa mgogoro wenyewe umeshafikia sura tofauti. Una migawanyiko ya kidini, kisiasa, watu wa haki za binadamu na sasa kuna kundi la ant-America nk. Sasa tukubaliane na uhalisia, jazba hazitatusaidia.
 
Mimi siku zote sina tatizo na watu wenye mtazamo tofauti na ule wa kwangu. Ninacho ongelea hapa ni kwa wale watu ambao huwa hawajengi hoja, na badala yake wanamshambulia mtu kwa sababu tu wanatofautiana mtazamo.
 
Mimi siku zote sina tatizo na watu wenye mtazamo tofauti na ule wa kwangu. Ninacho ongelea hapa ni kwa wale watu ambao huwa hawajengi hoja, na badala yake wanamshambulia mtu kwa sababu tu wanatofautiana mtazamo.
Tate,

Ndiyo jamii tuliyonayo kwa Sasa, bora kutofautiana kwa hoja lakini wengine wakikosa hoja ni kuporomosha matusi. Umegusia hilo la siasa za hapa nchini kwetu kuitwa Chadema au bavicha!! Wala hata usiumie kwasababu vyote ni vyama vya siasa. Tatizo lilianzia kwa mwendazake kugawa vyeo kwa kigezo cha kuwatukana viongozi wa upinzani na wapinzani wake. Vijana waliona ni furusa na hawajabadilika. Kuna wengine wanalipwa kwa kazi hiyo ya kutukana hivyo wameamua kutundika akili zao. Wakikutukana ujuwe wako kazini.
 
WADAU MNABISHANA KUHUSU WAARABU NA JEW'S VIPI KUHUSU MAFURIKO YA JANGWANI NA KKOO AU JAGWANI NA KKOO SIO NDUGU ZETU KIIMANI🤣🤣🤣😂
 
Ukiona mtu anawataja wayahudi kama MAYAHUDI na hataki waarabu waitwe MAARABU.
Bas unajua kabisa mlengo wake ulipo na upeo wake ulipolalia.
 
Mkuu unanidanganya..
Huwezi kuutenganisha uislamu na uarabu na kama unakataa ,,,bas nipe hoja????
SALA ZA WAISLAMU NA UISLAM
QUR'AN NA HEKAYA ZAKE
MAVAZI NA MAPOKEO
Vyote vinategemea uarabu na lugha ya kiarabu 100%
Sio kweli..
Uislam ni Uislam...bila kujali taifa..
Ibada sio taifa...
 
Una uhakika mimi ni Muislam? Sheikh adriz, tafadhali naomba uje utoe ushuhuda huku kama na mimi ni ndugu yenu katika imaan, kisa tu nimesimama upande wa Wapalestina dhidi ya Mayahudi.
Ukiona mtu anatumia neno MAYAHUDI na anakataa na anaumia kutumia neno MAARABU.
Sisi waandishi wa habari tunajua imani yake ilipolalia
 
Sio kweli..
Uislam ni Uislam...bila kujali taifa..
Ibada sio taifa...
Uislamu ni uarabu...
Anaekataa aniambie misikitini wanasali lugha gani na wanatafsiri lugha gani??
Hadithi za vitabu vya waislamu 97% vinaelezea historia za jamii gani.
Mungu wa waislamu anatumia lugha gani???
NB:HUWEZI KUTENGANISHA UARABU NA UISLAMU
 
Uislamu ni uarabu...
Anaekataa aniambie misikitini wanasali lugha gani na wanatafsiri lugha gani??
Hadithi za vitabu vya waislamu 97% vinaelezea historia za jamii gani.
Mungu wa waislamu anatumia lugha gani???
NB:HUWEZI KUTENGANISHA UARABU NA UISLAMU
Nishakwambia hujui...usilazimishe.
 
Nishakwambia hujui...usilazimishe.
Mkuu unajua unafiki sio mzuri..
Waislamu wanasali kiarabu 97%
Vitabu vyao vya kiarabu
Mungu wao wa kiarabu.
Historia zao za kiarabu.
Hadithi zao za kiarabu.
Madrasa wanasoma kiarabu
NB: UTAWEZAJE KUPINGA
 
Waarabu wenzako wa JF wanasemaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…