Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Kwanini Jews, Christian na Islam; zinaitwa Abrahamic Religions’?Mkuu jew,s hawafanani na waislamu.
Mungu wa wayahudi yehova ni tofauti kabisa na mungu wa waarabu na waislamu allah.
Soma
Qur'an 9:30
Qur'an 8:12
Mkuu kila dini ina Mungu wake.Kwanini Jews, Christian na Islam; zinaitwa Abrahamic Religions’?
Vitabu vya hizo dini msingi wange ni nini? Do research
Au wewe unaamini kabisa ‘Old Testament’ iliandikwa na Moses ambae anasimulia mpaka alivyokufa na kuzikwa kwenye kitabu cha Deuteronomy.
Fanya tafiti nani kaandika hivyo vitabu kwanza na msingi wa hizo story zenyewe.
Like I said mijadala ya dini sio mambo yangu sana.
Bye 👋
You are mostly correct Proved,except for one additional comment.Ila tambua Christianity chanzo chake ni Jewish religion.....tena Christianity imeanza miaka mingi sana kabla ya Islamic.
Ila tu Christianity ilipigwa Vita Sana na Wayahudi hapo mwanzo hivyo ikaletwa kwa wasio Wayahudi na wakaipokea na tangu hapo ikasambaa kwa njia nyingi.
hata watawala wa Kirumi baadae waliingia huko (japo mwanzo waliipinga sana hata kuua wahubiri wa mwanzo wa kikristo) ila baadae walijiunga huko kwa malengo yao ya kisiasa na kuieneza kwa njia ya umwagaji damu.
zitto junior Mathanzua
Mbona kuna mtanzania amuawa na hao Hamas ni kijana mdogo wa chuo alieenda kimafunzo ya kilimo kwani nae ni mwanajeshi?Hao Mayahudi waliuwawa na kundi la Hamas. Na wala siyo wale watoto na akina mama wasio na hatia yoyote ile wa Kipalestina.
Proved I am not aware of Palestinians refusing statehood,I am only aware of the Balfour Declaration supporting the creation of the State of Israel.This declaration was supported by the UN.Una hoja mkuu...ila kwanini wapalestina walikataa kuunda taifa lao pembeni ya Israel kabla ya mwaka 1967?.....
au labda walihofia Israel ingejitanua tu bila kujali mipaka yao ?..... ila walijikita kupigana kuifuta Israel badala yake wamepoteza hata kile kidogo walichoachiwa.
zitto junior Mathanzua Bams
Yeah, nakuunga mkono sana.. ndomaana ukichunguza vifo vingi vitokanavyo na vita ya Ukraine ni wanajeshi raia wachache sana.
Lkn Israel haijamaliza hata siku 40 washakuja raia zaidi ya elfu kumi na mbili.
The letter to Lord Rothschild.Ila tambua Christianity chanzo chake ni Jewish religion.....tena Christianity imeanza miaka mingi sana kabla ya Islamic.
Ila tu Christianity ilipigwa Vita Sana na Wayahudi hapo mwanzo hivyo ikaletwa kwa wasio Wayahudi na wakaipokea na tangu hapo ikasambaa kwa njia nyingi.
hata watawala wa Kirumi baadae waliingia huko (japo mwanzo waliipinga sana hata kuua wahubiri wa mwanzo wa kikristo) ila baadae walijiunga huko kwa malengo yao ya kisiasa na kuieneza kwa njia ya umwagaji damu.
zitto junior Mathanzua
Hii sio kweli kabisa mkuu kuna watu wakristo hiyo biblia ya kihebrania wanayotunia jews wameisoma vizuri tu. Mimi mwenyewe nshaangalia mjadala wa jamaa mmoja mkristo akimweleza myahudi trinity kupitia vitabu vyao tena wakisoma kwa kihebrania kabisa na tafsiri yake kwa kiingereza. Pia wakasoma na masimulizi ya marabbi wao maan wao biblia yao ni agano la kale kama ilivyo biblia ya kikristo plus tafsiri za marabbi. Sasa unasemaje wanafanana na waislamu kuliko wakristo wakati wanatumia agano la kale lililo sawa kabisa na biblia ya kikristo.Kidini Jewish na Islam zinafanana sana kuliko Christianity.
Kwa sababu asili yake ni culture ya Middle East.
Jews anakula nyama iliyochinjwa na muislamu (halal); machinjio yao wameajili wa Islam. Na waislamu wanakula na nyama inayochinjwa na Jews (kosher).
Wote wanao mabinamu (tells you this culture, rather than religion).
Kutoka kwa Adam and Eve kwenda kwa Noah, watoto ni wale wale. Tofauti zao ni ndogo sana kushinda Christianity.
Shida ni mzungu, kwenye upotoshaji; he is good on propaganda na wakiristo ambao wengi hawajui hata hiyo biblia imepatikana vipi na kuna version ngapi.
Ukiijua vizuri biblia ilivyoandika toka mwanzo hadi toleo la mwisho; na unyama wa kukipata hiko kitabu.
Salalee kama una akili zako timamu utajiuliza inakuwaje hawa watu walikuwa makatili hivi, usifanye mchezo kwenye kueneza biblia; ukiijua vizuri historia yake. Unaweza achana na ukristo.
Kila mtu aamini anachodhani ni sahihi.
🚮🚮Qur'an sio elimu bali ni hadithi za mapokeo ya adithi za kale za kufikirika na za utamaduni wa kiarabu.
Mkuu.
Labda kama elimu ya kuwachukia wakrsto na wayahudi.
Qur'an 9:30.
Qur'an 8:12
🚮Silazimishi ila hapa nilipo nasikia adhana kwa lugha ya kiarabu na sio kimakonde.
Mkuu umekula kona hoja huna 🤣🤣🤣😂
Kwani wakisema fulani alikuwa anaandika kitabu inamaanisha lazima aandike kwa mkono wake? Kwanza mbona nature ya binadamu inaonesha kuwa watawala huwa hawafanyi kazi ya kuandika ila mawazo yao yanatolewa watu wengine wanaandika. Kwahiyo mfano Mkapa au Mengi ni kweli wameandika kwa mkono wao vitabu vyao? Au umewahi sikia Yesu anaandika vitabu kwa mkono wake?Kwanini Jews, Christian na Islam; zinaitwa Abrahamic Religions’?
Vitabu vya hizo dini msingi wange ni nini? Do research
Au wewe unaamini kabisa ‘Old Testament’ iliandikwa na Moses ambae anasimulia mpaka alivyokufa na kuzikwa kwenye kitabu cha Deuteronomy.
Fanya tafiti nani kaandika hivyo vitabu kwanza na msingi wa hizo story zenyewe.
Like I said mijadala ya dini sio mambo yangu sana.
Bye [emoji112]
Sidhani kama unajua vitabu vya dini....Qur'an sio elimu bali ni hadithi za mapokeo ya adithi za kale za kufikirika na za utamaduni wa kiarabu.
Mkuu.
Labda kama elimu ya kuwachukia wakrsto na wayahudi.
Qur'an 9:30.
Qur'an 8:12
Nimemuuliza hilo swali kakimbia 🤣🤣🤣😂Hii sio kweli kabisa mkuu kuna watu wakristo hiyo biblia ya kihebrania wanayotunia jews wameisoma vizuri tu. Mimi mwenyewe nshaangalia mjadala wa jamaa mmoja mkristo akimweleza myahudi trinity kupitia vitabu vyao tena wakisoma kwa kihebrania kabisa na tafsiri yake kwa kiingereza. Pia wakasoma na masimulizi ya marabbi wao maan wao biblia yao ni agano la kale kama ilivyo biblia ya kikristo plus tafsiri za marabbi. Sasa unasemaje wanafanana na waislamu kuliko wakristo wakati wanatumia agano la kale lililo sawa kabisa na biblia ya kikristo.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Nimeshakusoma...unalazimisha upuuzi...Mkuu umekula kona hoja huna 🤣🤣🤣😂
Unadhani🤣😃😃😃Sidhani kama unajua vitabu vya dini....
Huenda unachokiamini ni hadithi haswa..
Old tastement waandishi ni wengi mno mfano Moses, David Solomon, na wengineo.Kwanini Jews, Christian na Islam; zinaitwa Abrahamic Religions’?
Vitabu vya hizo dini msingi wange ni nini? Do research
Au wewe unaamini kabisa ‘Old Testament’ iliandikwa na Moses ambae anasimulia mpaka alivyokufa na kuzikwa kwenye kitabu cha Deuteronomy.
Fanya tafiti nani kaandika hivyo vitabu kwanza na msingi wa hizo story zenyewe.
Like I said mijadala ya dini sio mambo yangu sana.
Bye [emoji112]
Hakuna upuuzi,,bali huna uwezo wa kijibu maswali yangu.Nimeshakusoma...unalazimisha upuuzi...
Hizo dini zineandikwa wapiMkuu jew,s hawafanani na waislamu.
Mungu wa wayahudi yehova ni tofauti kabisa na mungu wa waarabu na waislamu allah.
Soma
Qur'an 9:30
Qur'an 8:12.
Tatizo la waislamu ni kutaka kuifluence dini za kikrsto ns kiyahudi kwa kutumia mbinu zoote za vita na propaganda
Embu taja majina ya watoto na uzazi kutoka kwa Adam and Eve, mpaka kwa Noah.Hii sio kweli kabisa mkuu kuna watu wakristo hiyo biblia ya kihebrania wanayotunia jews wameisoma vizuri tu. Mimi mwenyewe nshaangalia mjadala wa jamaa mmoja mkristo akimweleza myahudi trinity kupitia vitabu vyao tena wakisoma kwa kihebrania kabisa na tafsiri yake kwa kiingereza. Pia wakasoma na masimulizi ya marabbi wao maan wao biblia yao ni agano la kale kama ilivyo biblia ya kikristo plus tafsiri za marabbi. Sasa unasemaje wanafanana na waislamu kuliko wakristo wakati wanatumia agano la kale lililo sawa kabisa na biblia ya kikristo.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app