Mimi na Mbowe tutapishana January 21, 2025. Kwaheri CHADEMA ya Mbowe

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo.

Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo dhahiri na watawala, inaniuma sana.

Nasikitika kusema kuwa rasmi mimi nitapishana na CHADEMA ya Freeman Mbowe January 21, 2025 sitakuwa tena sehemu ya chama hiki ambacho naamini nimekiongezea thamani kubwa mpaka hapa.

Chama nilichokiamini kutoka 2010 nikiwa najivunia kabisa, kukipigania hadi kwenye box la kura leo nakiacha kwa ajili ya haya mambo ya mtu kukiteka ili tu watu fulani wafaidike, inauma sana! Ila pia namshukuru Mungu kwa yote.

Naapa kwa Mungu wangu katu sitakuwa sehemu ya CHADEMA itakayoongozwa na Mbowe awamu hii. Nilimuamini miaka ya nyuma ila awamu hii naona kabisa tulihitaji aina nyingine ya utawala ambayo tayari imejipambanua na inaonekena kuwa tayari kuendesha gurudumu kwenda mbele. Kwaheri CHADEMA. Sioni tukiwa pamoja baada ya January 21, 2025.

Nikutakie safari njema huko ulikoamua kukumbatia kwa sasa. Nenda kwenye safari uliyoamini!
 
Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo dhahiri na watawala, inaniuma sana.

Nasikitika kusema kuwa rasmi mimi nitapishana na Chadema ya Freeman Nbowe January 21, 2025 sitakuwa tena sehemu ya chama hiki ambacho naamini nimekiongezea thamani kubwa mpaka hapa.

Chama nilichokiamini kutoka 2010 nikiwa najivunia kabisa, kukipigania hadi kwenye box la kura leo nakiacha kwa ajili ya haya mambo ya mtu kukiteka ili tu watu fulani wafaidike, inauma sana! Ila pia namshukuru Mungu kwa yote.

Naapa kwa Mungu wangu katu sitakuwa sehemu ya Chadema itakayoongozwa na Mbowe awamu hii. Nilimuamini miaka ya nyuma ila awamu hii naona kabisa tulihitaji aina nyingine ya utawala ambayo tayari imejipambanua na inaonekena kuwa tayari kuendesha gurudumu kwenda mbele. Kwaheri Chadema. Sioni tukiwa pamoja baada ya January 21, 2025. Nikutakie safari njema huko ulikoamua kukumbatia kwa sasa. Nenda kwenye safari uliyoamini!
Hahaha......mimi nitamuunga mkono.
 
Pole sana mkuu,

Usiamini sana binadamu utakufa kihoro..

Siku ukiona TL anaendelea kubeba mikoba utalia kwa uchungu sana...

Sikuzote sikiliza ideas na uzichallenge mambo ya huyu anafaa au hafai waachie watoto wadogo..

Toka 2010 sasa ivi untakiwa ugombee ubunge mkuu, usipambanie watu pekee
 
Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo.

Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo dhahiri na watawala, inaniuma sana.

Nasikitika kusema kuwa rasmi mimi nitapishana na CHADEMA ya Freeman Mbowe January 21, 2025 sitakuwa tena sehemu ya chama hiki ambacho naamini nimekiongezea thamani kubwa mpaka hapa.

Chama nilichokiamini kutoka 2010 nikiwa najivunia kabisa, kukipigania hadi kwenye box la kura leo nakiacha kwa ajili ya haya mambo ya mtu kukiteka ili tu watu fulani wafaidike, inauma sana! Ila pia namshukuru Mungu kwa yote.

Naapa kwa Mungu wangu katu sitakuwa sehemu ya CHADEMA itakayoongozwa na Mbowe awamu hii. Nilimuamini miaka ya nyuma ila awamu hii naona kabisa tulihitaji aina nyingine ya utawala ambayo tayari imejipambanua na inaonekena kuwa tayari kuendesha gurudumu kwenda mbele. Kwaheri CHADEMA. Sioni tukiwa pamoja baada ya January 21, 2025.

Nikutakie safari njema huko ulikoamua kukumbatia kwa sasa. Nenda kwenye safari uliyoamini!

GfuY-ekXQAAK7pI.jpeg
 
Acha ulaghai wa kisiasa
 
Tarehe 21 Mbowe akiwa Mwenyekiti najiunga Chadema rasmi. So nafasi yako imepata mtu.
 
Mbowe kujimilikisha Chadema.
 
Angalau wewe umeona Ukweli! Mbowe yupo na atakuwepo.
 
Chadema itapata hasara gani wewe usipokuwa Mwana Chadema?
 
Kwa yanayoendelea CHADEMA ni dhahiri vijana wengi wameharibu future zao kwa sababu ya muda waliopoteza sehemu ambayo walidhani kuna matumaini ila imekuwa kinyume chake. DJ anazidi tu kukimbiwa na vijana. Karibu sana CCM Gsam maana wenzio tulishtuka mapema na tumeona ni bora kuungana kwani pigo la January ndio pigo baya zaidi kuliko mapigo mengine yote yaliyowahi kutokea. Kikubwa ni kuwa kwenye jafasi ya kutoa mchango wako katika taifa lako pasipo kujali itikadi uliyonayo
 
Mimi mwenyewe wakimeudisha mbowe bora niende
Wee na aliyeanzisha uzi huu, ni akina naniii? Aliondoka Dr Slaa katikati ya vita, likaletwa lililoitwa FISADI, akaondoka Kabour wa Kigoma, akaondoka Zitto aliyesemwa ana kundi kubwa la vijana, lakini JAHAZI halikuzama, itakuwa nyie ambao si chochote!!!? Acheni kutisha watu! Huyo mtu wenu, ASIYE NA SHUKRANI, kwa kuongoza kumpaka mbovu, aliyejilipua kwa kumuokoa, mwacheni tu, aingie kwenye mpambano. Kelele zote hizi, matusi yote haya, ni dalili za kushindwa!
 
Back
Top Bottom