Mimi na Mbowe tutapishana January 21, 2025. Kwaheri CHADEMA ya Mbowe

Bora kula kwa urefu wa kamba huko kijana kuliko kuendelea kuteseka na makasiriko ya chama cha huyo mangi , maendeleo ya tumbo hayana chama
 
Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo.

Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo dhahiri na watawala, inaniuma sana.

Nasikitika kusema kuwa rasmi mimi nitapishana na CHADEMA ya Freeman Mbowe January 21, 2025 sitakuwa tena sehemu ya chama hiki ambacho naamini nimekiongezea thamani kubwa mpaka hapa.

Chama nilichokiamini kutoka 2010 nikiwa najivunia kabisa, kukipigania hadi kwenye box la kura leo nakiacha kwa ajili ya haya mambo ya mtu kukiteka ili tu watu fulani wafaidike, inauma sana! Ila pia namshukuru Mungu kwa yote.

Naapa kwa Mungu wangu katu sitakuwa sehemu ya CHADEMA itakayoongozwa na Mbowe awamu hii. Nilimuamini miaka ya nyuma ila awamu hii naona kabisa tulihitaji aina nyingine ya utawala ambayo tayari imejipambanua na inaonekena kuwa tayari kuendesha gurudumu kwenda mbele. Kwaheri CHADEMA. Sioni tukiwa pamoja baada ya January 21, 2025.

Nikutakie safari njema huko ulikoamua kukumbatia kwa sasa. Nenda kwenye safari uliyoamini!

Ni manyumbu pekee watakaobakia huko?

Yaani chama kinawatukana wanaharakati am
Wee na aliyeanzisha uzi huu, ni akina naniii? Aliondoka Dr Slaa katikati ya vita, likaletwa lililoitwa FISADI, akaondoka Kabour wa Kigoma, akaondoka Zitto aliyesemwa ana kundi kubwa la vijana, lakini JAHAZI halikuzama, itakuwa nyie ambao si chochote!!!? Acheni kutisha watu! Huyo mtu wenu, ASIYE NA SHUKRANI, kwa kuongoza kumpaka mbovu, aliyejilipua kwa kumuokoa, mwacheni tu, aingie kwenye mpambano. Kelele zote hizi, matusi yote haya, ni dalili za kushindwa!

Chama nimerudi nyuma sana mkuu wala usijisifie kiboya. .
Chama hakina hata madiwani kumi nchi nzima kutoka kwenye madiwani zaidi ya elfu moja.!
Huoni kuwa watu walikua wana mapenzi na watu wengine kama zito,Slaa,Lowasa na Msigwa lakini sasa Mbowe kabaki mwenyewe watu hawamtaki kabisa ndio maana hawalindi kura wala kupiga kura kama mwanzoni wakati wa hamasa ya Akina Zito?
Nyie hamuoni kuwa zito aliondoka na watu wake wengi ndio maana chama chake kina nguvu . Kigoma ilikua ni ngome ya Chadema , vipi hamuoni kuwa sasa iko chini ya zito.

Tundu akiondoka Ndio mwisho wa Chadema kuwa chama kikuu cha upinzani.

Watanzania wanafuatilia sana siasa za Mbowe na wamemchoka . Angalia watu wanavyomuunga mkono Makonda kwa jinsi anavyopambania haki za watu . Watu wengi hawataki siasa za rushwa na ufisadi zilizobaki nazo Mbowe kugombea Uenyekiti.

Ni bora angegawa tisheti kwenye uchaguzi ingesaidia Chama kupata kura za Wabunge na madiwani . Huko Mbowe hana habari napo lakini Uenyekiti atafawa mapesa ili azeekze kwenye kiti kama alivyosema mpaka afikishe miaka 70 kuwazidi akina Mtei
 
Shida wanaamini aliondoka Dr slaa chama kitabaki salama safari hii acha waone chama kinavyo enda shimoni ushawishi wa slaa na lisu ni tofauti kabisa cdm mpeni lisu uenyekiti kuokoa chama.
 
Sawa kwani kuondoka kwako ndio mwisho wa taasisi chadema?
 
Wee na aliyeanzisha uzi huu, ni akina naniii? Aliondoka Dr Slaa katikati ya vita, likaletwa lililoitwa FISADI, akaondoka Kabour wa Kigoma, akaondoka Zitto aliyesemwa ana kundi kubwa la vijana, lakini JAHAZI halikuzama, itakuwa nyie ambao si chochote!!!? Acheni kutisha watu! Huyo mtu wenu, ASIYE NA SHUKRANI, kwa kuongoza kumpaka mbovu, aliyejilipua kwa kumuokoa, mwacheni tu, aingie kwenye mpambano. Kelele zote hizi, matusi yote haya, ni dalili za kushindwa!
Mazingira ya sasa hayakibebi chama. Muda ni wakati mzuri sana.
 
Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo.

Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo dhahiri na watawala, inaniuma sana.

Nasikitika kusema kuwa rasmi mimi nitapishana na CHADEMA ya Freeman Mbowe January 21, 2025 sitakuwa tena sehemu ya chama hiki ambacho naamini nimekiongezea thamani kubwa mpaka hapa.

Chama nilichokiamini kutoka 2010 nikiwa najivunia kabisa, kukipigania hadi kwenye box la kura leo nakiacha kwa ajili ya haya mambo ya mtu kukiteka ili tu watu fulani wafaidike, inauma sana! Ila pia namshukuru Mungu kwa yote.

Naapa kwa Mungu wangu katu sitakuwa sehemu ya CHADEMA itakayoongozwa na Mbowe awamu hii. Nilimuamini miaka ya nyuma ila awamu hii naona kabisa tulihitaji aina nyingine ya utawala ambayo tayari imejipambanua na inaonekena kuwa tayari kuendesha gurudumu kwenda mbele. Kwaheri CHADEMA. Sioni tukiwa pamoja baada ya January 21, 2025.

Nikutakie safari njema huko ulikoamua kukumbatia kwa sasa. Nenda kwenye safari uliyoamini!
Kwa yanayoendelea chadema, wana siasa wa upinzani wa Afrika, huwa wakali kabla hawajalambishwa asali,wakilamba tu, watawala wana kuwa maraika,
Kule kenya(akili kubwa), Chama cha ODM na wana siasa wake wakali, Edwin sifuna, John Mbadi, Opiyo wandai, wali kuwa wanamkalia kooni Ruto tangu ameingia madarakani,
Siku John Mbadi alipoteuliwa kuwa waziri wa fedha, Cabinet secretary wa treasury, na Wandai na Omar Joho na wao kulamba nafasi no no za uwazir, Ruto amekuwa sio shetani tena, ni maraika, sasa hv wanaimba mapambio yq kumsifu tu, Mbowe, anakula na serikali,kwake survival yake kifedha, ni kubwa kuliko chama, Is the sellout! Kama alivyokuwa Mandela, aliambiwa tutakupa Uhuru wa ki siasa, lakini uchumi sahau,ili utoke jera!, ikabidi akubali
 
Kuna mipumbavu ilikuwa inapigwa hadi risasi kwa ajili kumtetea Mbowe.

Tuliwaambia pia kwamba Mbowe na Mnyika wame husika moja kwa moja kuwapeleka covid 19 bungeni kakaza mifuvu yenu.

Wapumbavu wakubwa ngoja mnyoshwe
 
Kifupi ni kwamba kama Mbowe atatetea kiti chake, basi chadema ndiyo kwaheri (itakufa rasmi).
akitetea ndo anakuwa mshindani siyokwamba kashinda hapana hii race Lisu ataibuka mshidi, nikama yanga na kombe lake TPL msimu huu mwisho wa siku mnyama anashinda
 
Kwa yanayoendelea chadema, wana siasa wa upinzani wa Afrika, huwa wakali kabla hawajalambishwa asali,wakilamba tu, watawala wana kuwa maraika,
Kule kenya(akili kubwa), Chama cha ODM na wana siasa wake wakali, Edwin sifuna, John Mbadi, Opiyo wandai, wali kuwa wanamkalia kooni Ruto tangu ameingia madarakani,
Siku John Mbadi alipoteuliwa kuwa waziri wa fedha, Cabinet secretary wa treasury, na Wandai na Omar Joho na wao kulamba nafasi no no za uwazir, Ruto amekuwa sio shetani tena, ni maraika, sasa hv wanaimba mapambio yq kumsifu tu, Mbowe, anakula na serikali,kwake survival yake kifedha, ni kubwa kuliko chama, Is the sellout! Kama alivyokuwa Mandela, aliambiwa tutakupa Uhuru wa ki siasa, lakini uchumi sahau,ili utoke jera!, ikabidi akubali
Kiongozi wa aina hii hanifai
 
Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo.

Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo dhahiri na watawala, inaniuma sana.

Nasikitika kusema kuwa rasmi mimi nitapishana na CHADEMA ya Freeman Mbowe January 21, 2025 sitakuwa tena sehemu ya chama hiki ambacho naamini nimekiongezea thamani kubwa mpaka hapa.

Chama nilichokiamini kutoka 2010 nikiwa najivunia kabisa, kukipigania hadi kwenye box la kura leo nakiacha kwa ajili ya haya mambo ya mtu kukiteka ili tu watu fulani wafaidike, inauma sana! Ila pia namshukuru Mungu kwa yote.

Naapa kwa Mungu wangu katu sitakuwa sehemu ya CHADEMA itakayoongozwa na Mbowe awamu hii. Nilimuamini miaka ya nyuma ila awamu hii naona kabisa tulihitaji aina nyingine ya utawala ambayo tayari imejipambanua na inaonekena kuwa tayari kuendesha gurudumu kwenda mbele. Kwaheri CHADEMA. Sioni tukiwa pamoja baada ya January 21, 2025.

Nikutakie safari njema huko ulikoamua kukumbatia kwa sasa. Nenda kwenye safari uliyoamini!
Matakwa ya wakati ni kitu muhimu mno kuzingatia.

History is just the path left by the past.

Jambo la msingi katika maamuzi ya CDM sasa ni hitaji la wakati.

The decision must be demand driven and not supply driven. That will be the perfect decision at the utmost faith with no regard of what was done in the past.

Wajumbe wa Mkutano watapaswa kuiangalia zaidi kesho ya chama chao zaidi ya yale ya jana yake. Ni uamuzi unaohitaji umakini zaidi ya kukumbatia mazoea. Uamuzi mzuri ni ule ulio chanya zaidi mazongezonge yenye ukakasi, ni uamuzi wenye kuhitaji uthubutu zaidi ya hofu.

Historia ya yale yaliyopita huweka alama ya thamani ya mambo yaliyopita, lakini historia pia inatoa taswira halisi ya thamani ya yale yajayo yenye kujaa matumaini, mabadiliko ya kweli, na uthubutu wa kutenda ili kukabiliana na changamoto zijazo.
 
Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo.

Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo dhahiri na watawala, inaniuma sana.

Nasikitika kusema kuwa rasmi mimi nitapishana na CHADEMA ya Freeman Mbowe January 21, 2025 sitakuwa tena sehemu ya chama hiki ambacho naamini nimekiongezea thamani kubwa mpaka hapa.

Chama nilichokiamini kutoka 2010 nikiwa najivunia kabisa, kukipigania hadi kwenye box la kura leo nakiacha kwa ajili ya haya mambo ya mtu kukiteka ili tu watu fulani wafaidike, inauma sana! Ila pia namshukuru Mungu kwa yote.

Naapa kwa Mungu wangu katu sitakuwa sehemu ya CHADEMA itakayoongozwa na Mbowe awamu hii. Nilimuamini miaka ya nyuma ila awamu hii naona kabisa tulihitaji aina nyingine ya utawala ambayo tayari imejipambanua na inaonekena kuwa tayari kuendesha gurudumu kwenda mbele. Kwaheri CHADEMA. Sioni tukiwa pamoja baada ya January 21, 2025.

Nikutakie safari njema huko ulikoamua kukumbatia kwa sasa. Nenda kwenye safari uliyoamini!
Anzisha chama chako nitakuunga mguu
 
Yaani ondoka na mkeo kabisa, usije ukatusingizia na mengine.
 
Vipo vyama vingi tuuu NCHIII HIII TENA ZA KUDUMUUUU, NENDA HUKO TUUU UNYEKITI HATUACHIII HATA NGOOOO
 
Back
Top Bottom