Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mbowe naye anatoa picha mbaya sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa na hatakubali kuondokaKifupi ni kwamba kama Mbowe atatetea kiti chake, basi chadema ndiyo kwaheri (itakufa rasmi).
Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo.
Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo dhahiri na watawala, inaniuma sana.
Nasikitika kusema kuwa rasmi mimi nitapishana na CHADEMA ya Freeman Mbowe January 21, 2025 sitakuwa tena sehemu ya chama hiki ambacho naamini nimekiongezea thamani kubwa mpaka hapa.
Chama nilichokiamini kutoka 2010 nikiwa najivunia kabisa, kukipigania hadi kwenye box la kura leo nakiacha kwa ajili ya haya mambo ya mtu kukiteka ili tu watu fulani wafaidike, inauma sana! Ila pia namshukuru Mungu kwa yote.
Naapa kwa Mungu wangu katu sitakuwa sehemu ya CHADEMA itakayoongozwa na Mbowe awamu hii. Nilimuamini miaka ya nyuma ila awamu hii naona kabisa tulihitaji aina nyingine ya utawala ambayo tayari imejipambanua na inaonekena kuwa tayari kuendesha gurudumu kwenda mbele. Kwaheri CHADEMA. Sioni tukiwa pamoja baada ya January 21, 2025.
Nikutakie safari njema huko ulikoamua kukumbatia kwa sasa. Nenda kwenye safari uliyoamini!
Wee na aliyeanzisha uzi huu, ni akina naniii? Aliondoka Dr Slaa katikati ya vita, likaletwa lililoitwa FISADI, akaondoka Kabour wa Kigoma, akaondoka Zitto aliyesemwa ana kundi kubwa la vijana, lakini JAHAZI halikuzama, itakuwa nyie ambao si chochote!!!? Acheni kutisha watu! Huyo mtu wenu, ASIYE NA SHUKRANI, kwa kuongoza kumpaka mbovu, aliyejilipua kwa kumuokoa, mwacheni tu, aingie kwenye mpambano. Kelele zote hizi, matusi yote haya, ni dalili za kushindwa!
Mazingira ya sasa hayakibebi chama. Muda ni wakati mzuri sana.Wee na aliyeanzisha uzi huu, ni akina naniii? Aliondoka Dr Slaa katikati ya vita, likaletwa lililoitwa FISADI, akaondoka Kabour wa Kigoma, akaondoka Zitto aliyesemwa ana kundi kubwa la vijana, lakini JAHAZI halikuzama, itakuwa nyie ambao si chochote!!!? Acheni kutisha watu! Huyo mtu wenu, ASIYE NA SHUKRANI, kwa kuongoza kumpaka mbovu, aliyejilipua kwa kumuokoa, mwacheni tu, aingie kwenye mpambano. Kelele zote hizi, matusi yote haya, ni dalili za kushindwa!
Kwa yanayoendelea chadema, wana siasa wa upinzani wa Afrika, huwa wakali kabla hawajalambishwa asali,wakilamba tu, watawala wana kuwa maraika,Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo.
Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo dhahiri na watawala, inaniuma sana.
Nasikitika kusema kuwa rasmi mimi nitapishana na CHADEMA ya Freeman Mbowe January 21, 2025 sitakuwa tena sehemu ya chama hiki ambacho naamini nimekiongezea thamani kubwa mpaka hapa.
Chama nilichokiamini kutoka 2010 nikiwa najivunia kabisa, kukipigania hadi kwenye box la kura leo nakiacha kwa ajili ya haya mambo ya mtu kukiteka ili tu watu fulani wafaidike, inauma sana! Ila pia namshukuru Mungu kwa yote.
Naapa kwa Mungu wangu katu sitakuwa sehemu ya CHADEMA itakayoongozwa na Mbowe awamu hii. Nilimuamini miaka ya nyuma ila awamu hii naona kabisa tulihitaji aina nyingine ya utawala ambayo tayari imejipambanua na inaonekena kuwa tayari kuendesha gurudumu kwenda mbele. Kwaheri CHADEMA. Sioni tukiwa pamoja baada ya January 21, 2025.
Nikutakie safari njema huko ulikoamua kukumbatia kwa sasa. Nenda kwenye safari uliyoamini!
akitetea ndo anakuwa mshindani siyokwamba kashinda hapana hii race Lisu ataibuka mshidi, nikama yanga na kombe lake TPL msimu huu mwisho wa siku mnyama anashindaKifupi ni kwamba kama Mbowe atatetea kiti chake, basi chadema ndiyo kwaheri (itakufa rasmi).
Kiongozi wa aina hii hanifaiKwa yanayoendelea chadema, wana siasa wa upinzani wa Afrika, huwa wakali kabla hawajalambishwa asali,wakilamba tu, watawala wana kuwa maraika,
Kule kenya(akili kubwa), Chama cha ODM na wana siasa wake wakali, Edwin sifuna, John Mbadi, Opiyo wandai, wali kuwa wanamkalia kooni Ruto tangu ameingia madarakani,
Siku John Mbadi alipoteuliwa kuwa waziri wa fedha, Cabinet secretary wa treasury, na Wandai na Omar Joho na wao kulamba nafasi no no za uwazir, Ruto amekuwa sio shetani tena, ni maraika, sasa hv wanaimba mapambio yq kumsifu tu, Mbowe, anakula na serikali,kwake survival yake kifedha, ni kubwa kuliko chama, Is the sellout! Kama alivyokuwa Mandela, aliambiwa tutakupa Uhuru wa ki siasa, lakini uchumi sahau,ili utoke jera!, ikabidi akubali
Matakwa ya wakati ni kitu muhimu mno kuzingatia.Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo.
Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo dhahiri na watawala, inaniuma sana.
Nasikitika kusema kuwa rasmi mimi nitapishana na CHADEMA ya Freeman Mbowe January 21, 2025 sitakuwa tena sehemu ya chama hiki ambacho naamini nimekiongezea thamani kubwa mpaka hapa.
Chama nilichokiamini kutoka 2010 nikiwa najivunia kabisa, kukipigania hadi kwenye box la kura leo nakiacha kwa ajili ya haya mambo ya mtu kukiteka ili tu watu fulani wafaidike, inauma sana! Ila pia namshukuru Mungu kwa yote.
Naapa kwa Mungu wangu katu sitakuwa sehemu ya CHADEMA itakayoongozwa na Mbowe awamu hii. Nilimuamini miaka ya nyuma ila awamu hii naona kabisa tulihitaji aina nyingine ya utawala ambayo tayari imejipambanua na inaonekena kuwa tayari kuendesha gurudumu kwenda mbele. Kwaheri CHADEMA. Sioni tukiwa pamoja baada ya January 21, 2025.
Nikutakie safari njema huko ulikoamua kukumbatia kwa sasa. Nenda kwenye safari uliyoamini!
Sasa CCM imeingiaje tena kamanda?😁CCM na machawa mmetuletea janga kwenye nchi. Tutahitaji muda tena kupata muafaka mwingine ni ngumu lakini ni hivyo.
Anzisha chama chako nitakuunga mguuKila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo.
Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo dhahiri na watawala, inaniuma sana.
Nasikitika kusema kuwa rasmi mimi nitapishana na CHADEMA ya Freeman Mbowe January 21, 2025 sitakuwa tena sehemu ya chama hiki ambacho naamini nimekiongezea thamani kubwa mpaka hapa.
Chama nilichokiamini kutoka 2010 nikiwa najivunia kabisa, kukipigania hadi kwenye box la kura leo nakiacha kwa ajili ya haya mambo ya mtu kukiteka ili tu watu fulani wafaidike, inauma sana! Ila pia namshukuru Mungu kwa yote.
Naapa kwa Mungu wangu katu sitakuwa sehemu ya CHADEMA itakayoongozwa na Mbowe awamu hii. Nilimuamini miaka ya nyuma ila awamu hii naona kabisa tulihitaji aina nyingine ya utawala ambayo tayari imejipambanua na inaonekena kuwa tayari kuendesha gurudumu kwenda mbele. Kwaheri CHADEMA. Sioni tukiwa pamoja baada ya January 21, 2025.
Nikutakie safari njema huko ulikoamua kukumbatia kwa sasa. Nenda kwenye safari uliyoamini!
Vipo vyama vingi tuuu NCHIII HIII TENA ZA KUDUMUUUU, NENDA HUKO TUUU UNYEKITI HATUACHIII HATA NGOOOOKila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo.