Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyeanzisha vyama vingi Tanzania ana akili sana. 1995 NCCR mageuzi dhidi ya CCM, upinzani haukuambulia kitu. 2005 TLP, CUF, na Chadema zikawa moto nazo Chali. 2015 Chadema ya Lowasa ikapigwa goli la mkono. Sasa tunasuburi 2025 na yoyote iyakayojitokeza nayo Chali. Matumaini ya Watanzania zimekuwa ndoto za mchana zisizotimia na watawala wanashiba kwa ukubwa wa viroba na magunia ya kujibebea.Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo.
Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo dhahiri na watawala, inaniuma sana.
Nasikitika kusema kuwa rasmi mimi nitapishana na CHADEMA ya Freeman Mbowe January 21, 2025 sitakuwa tena sehemu ya chama hiki ambacho naamini nimekiongezea thamani kubwa mpaka hapa.
Chama nilichokiamini kutoka 2010 nikiwa najivunia kabisa, kukipigania hadi kwenye box la kura leo nakiacha kwa ajili ya haya mambo ya mtu kukiteka ili tu watu fulani wafaidike, inauma sana! Ila pia namshukuru Mungu kwa yote.
Naapa kwa Mungu wangu katu sitakuwa sehemu ya CHADEMA itakayoongozwa na Mbowe awamu hii. Nilimuamini miaka ya nyuma ila awamu hii naona kabisa tulihitaji aina nyingine ya utawala ambayo tayari imejipambanua na inaonekena kuwa tayari kuendesha gurudumu kwenda mbele. Kwaheri CHADEMA. Sioni tukiwa pamoja baada ya January 21, 2025.
Nikutakie safari njema huko ulikoamua kukumbatia kwa sasa. Nenda kwenye safari uliyoamini!
Kura yako ni moja tu mkuu, mi sio chadema ila mbowe ni mwanasiasa bora sana ndani ya chadrmaKila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo.