Mimi na Mbowe tutapishana January 21, 2025. Kwaheri CHADEMA ya Mbowe

Mbowe anadai ana familia am
bayo imebidi afanye maridhino ili ahakikishe anaiweka pazuri mifumoni.
Maridhiano yanamhitaji aendelee kuwepo ili awafanyie kazi yao na yeye waifanye ya kwake
 
Hakuna sabab ya kuaga..wakati unaingia chadema hukutangaza, we sepa, kafie huko unakoona demokrasia imesaidia kuondoa wizi na walafi wa mali za umma!
 
Chama cha siasa ni wanachama, sasa wanachama wakisepa chama viongozi wataongoza misukule?!.
Team mbowe woote hawana akili wala hoja...ni nani aliyewaloga?!.
Mnataka kuambiwa mara ngp???? Ni heri kubaki na watu watatu kwenye chama kuliko kuwa na watu 1,000 km wewe..go! Leave .!
 
Mwehu wa lumumba wewe kwendraaa, hatuwezi kukabidhi chama machizi
 
Ni muda muafaka wanasiasa wa hovyo kuondoka chadema
 
Sio wewe tu hata mimi na familia yangu wote tumeazimia kuacha kupiga kura wala kushiriki masuala ya siasa kama Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti. Ngoja alazimishe kushinda tuone kama hajageuka kituko kama Lipumba
 
Kauli ya LISu kwamba hatahama,inaashiria tayari anajina la chama atakachokisajiri kwa lugha ya Sheria ili kiwe m-badala wa CHADEMA ....nahofu hiyo

Ukimuuliza hakosagi majibu
Au atasubiria kufukuzwa ili aseme hakuhama
 
Hayo ni maamuzi yako wewe mkuu,katu usidhani na wengine wanafikra kama hizo,,maisha yako ni yako wewe hayapaswi kuwa ya mtu mwingine bro,hatima ni ya kwako,ukiegemea kwa fulani uta loose.
 
Sio wewe tu hata mimi na familia yangu wote tumeazimia kuacha kupiga kura wala kushiriki masuala ya siasa kama Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti. Ngoja alazimishe kushinda tuone kama hajageuka kituko kama Lipumba
Huhitaji kutangaza, tekeleza na shawishi wengine wa akili km yako kuondoka chadema!
 
Mkuu tupo na wewe..
ila huyo Mbowe akishinda uenyekiti basi majibu atayapata kwenye uchaguzi mkuu wa 2025,
 
Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025.
Kwa nini unakuwa na fikra kwamba Mbowe kushinda kwake lazima afanye hila? Kwa nini huamini kwamba kuna wajumbe ambao watampigia kura Mbowe? Kwamba kwa kuwa wewe unamtaka Lissu basi unadhani na wajumbe wote wanamtaka pia?
 
Mnataka kuambiwa mara ngp???? Ni heri kubaki na watu watatu kwenye chama kuliko kuwa na watu 1,000 km wewe..go! Leave .!
Hatuwezi kukubali kuachia chama kakikundi kadogo ka watu wanaoongozwa na ulafi tu wa madaraka...mtaondoka nyie na huyo king'ang'anizi wenu!.
 
Ngoja tuone.

Batarokota benyewe kunyavu.

Alipo Simba tupo!
 
Kwa nini unakuwa na fikra kwamba Mbowe kushinda kwake lazima afanye hila? Kwa nini huamini kwamba kuna wajumbe ambao watampigia kura Mbowe? Kwamba kwa kuwa wewe unamtaka Lissu basi unadhani na wajumbe wote wanamtaka pia?

Kwani public opinion inasema je?
 
Mwenyewe nakuunga mkono
 
Yaani wewe ndio unajipa uwezo wa Mwenyezi Mungu?Upumbavu wa hali ya juu sana.Mnajifanya mnagombania haki na demokrasia lakini hamtaki uchaguzi.
Mnafiki mkubwa .Wewe ndio unapaswa kuishi duniani?
Halafu wanataka CCM iondoke, mambo ya kijinga sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…