Mimi na Mbowe tutapishana January 21, 2025. Kwaheri CHADEMA ya Mbowe

Ukiondoka wengine wanakuja, binafsi simtaki Mbowe ila kwa Lissu hapana. Inaonekana chadema haina mbadala wa Mbowe, coz Lissu ain't the right man to steer the ship.
 
Mbowe akishinda Chadema itakuwa sawa na CCM tofauti itakuwa gwanda za khaki tu.
 
Aliyeanzisha vyama vingi Tanzania ana akili sana. 1995 NCCR mageuzi dhidi ya CCM, upinzani haukuambulia kitu. 2005 TLP, CUF, na Chadema zikawa moto nazo Chali. 2015 Chadema ya Lowasa ikapigwa goli la mkono. Sasa tunasuburi 2025 na yoyote iyakayojitokeza nayo Chali. Matumaini ya Watanzania zimekuwa ndoto za mchana zisizotimia na watawala wanashiba kwa ukubwa wa viroba na magunia ya kujibebea.
 
Kura yako ni moja tu mkuu, mi sio chadema ila mbowe ni mwanasiasa bora sana ndani ya chadrma
 
Baada ya tarehe 21 january hadi 31 oct 2025, kutakuwa na Ids mpya sana humu.

Wengine ni kwa sababu ya aibu ama kushindwa kula matapishi yao.

Wengine hawataamini kwa uchawa walioufanya na kinachotokea.

Watajifichaje zaidi ya kubadili majina yao kwa kuwa na akaunti mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…