Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

Tatizo lilianzia mbali, kwa vile mzazi wako kakushindwa huwezi kutushinda walimwengu tutakupelekea moto mpaka ukae sawa..!!
 
Tunza hiyo will vizuri, siku mzee akipumzika nicheck nikusaidie kukupa muongozo wa mgawanyo kwa wadogo zako..!! 😻
 
Mbona ni mambo ya kawaida Sana Dogo shida yako ni nini? Inaonekana Baba Yako asingekudhibiti wewe ungekuwa Mbuga bangi au jambazi.
 
Tatizo lilianzia mbali, kwa vile mzazi wako kakushindwa huwezi kutushinda walimwengu tutakupelekea moto mpaka ukae sawa..!!
Huyo Dogo amenishangaza yaani kukalipiwa Tu na kuonywa tena na Baba yake anaona kama ni mateso
Haya maisha ya kupewa kila kitu ni mazuri lakini yanawaharibu watoto.

Anaona kufanya kazi na ukalipwa 5k kama ni mateso, na ni mwanaume
Wenzako tulikuwa tunapigwa finbo za kufa mtu na Huyo huyo Baba Ada hakulipii, na viatu na soksi zimechanika na Nyumba ya kulala hakuna
 
Huyo hamnazo baba mtu mzima wa 29 ana tabia za hovyo..!!
 
Tunza hiyo will vizuri, siku mzee akipumzika nicheck nikusaidie kukupa muongozo wa mgawanyo kwa wadogo zako..!! 😻
Hiyo will sinayo niliona tu bahati mbaya kwenye karatasi zake😀

Malengo makubwa ya mtoto wa kiume ni kufanya zaidi ya alichoweza kufanya baba yake. So at this point am in my journey

Sijawah wazia mali ya mzee kabisa. Not even entartaining the idea
 
That's my point,una miaka 29 ushakua babu,why ulalamike kuhusu malezi??

Wote tunacomment hapa na Watanzania wengine tunatoka katika family ambazo zimetofautiana 'degree' za malezi.

Kila familia ina matatizo yake,wazazi nao binadamu so hawawezi kua sahii hata kwa 60% plus na wao walikua watoto pia, wametoka katika familia hizi hizi za matatizo tele

Malezi yana influence maisha ya mtoto hadi uzeeni kwake(not destiny),. ukiwa mtu mbaya unakua mtu mbaya sababu umechagua kua mtu mbaya sio sababu umepata malezi mabaya(and vice versa).,life experiences na personal choices ndio zina shape mtu..

Kama ulivyochagua kuona Upande mbaya wa Baba yako,unaweza kuchagua pia kuona mema yake,kiasi gani kajitoa hili uende shule,upate chakula and roof over your head..

Just kubali tu binadamu kiumbe dhaifu(you as well).,ukisamehe na ku move on itakusaidia kupona.


Learn to Love..
 
I got you brother🙏🙏
 
Yeah... That "a" wasn't intentional sio kwamba sijui..
Japo sio rahisi tu kukubali na kuachilia jambo lipite, I'll keep on remorphing myself niwe sawa na mzee wangu.
Ukikosea kitu rekebisha badala ya kutoa utetezi usiohitajika.
 
Kwa conclusion, si kila kutokuelewana na mzazi kunamaanisha uhusiano umefika mwisho. Wakati mwingine muda, ukomavu na mazungumzo ya kweli vinaweza kurekebisha mambo ambayo leo yanaonekana hayawezekani. Muhimu ni kutunza heshima na kutoruhusu tofauti za leo zifute thamani ya uhusiano wa maisha yote.
 
Sisi mzee wetu alikuwa anatupeleka sinema miaka hiyo ya 90 kwenye 93 hivi. Alitupa uhuru wa kutosha ila giza likikukuta nje ni kichapo cha haja. Udikteta sana pia sio mzuri.
Hakika

Pia sisi kuomba ruhusa lazima, pia kutokula majumbani Kwa watu ovyo ovyo

Ilikua nyumbani lazima saa 12 JIONI uwepo nyumbani

Stick pia ukikosea unachapwa na mzee... Mzee alikua AKIKUPA KAZI UKASAHAU...UKIMTAJIA NENO NIMESAHAU.. ALIKUA ANAKASIRIKA SANA

ANASEMA WEWE MTOTO MDOGO HUNA MAJUKUMU MENGI UNASAHAUJE??

NIKAWA NIMEMJULIA NIKISAHAU KUFANYA JUKUMU ALILO NIPA NAMWAMBIA NILIPANGA KUFANYA BAADAE ☺️😀 AKAWA ANASEMA UNAJIPANGIA HAAAAHAA ☺️ 😊
 
Aisee sijui nikuambiaje kuna muda tunacheka tunafurah tunapiga story ila we acha tu ,ukimchekea na kumuangalia tu bila ukali ndio anakuonyesha sasa anataka uhuru zaidi isingekuwa hivyo angepigwa mimba sasa acha tu sitaki mchezo
Kwani mmezoanaje mkuu? Kaa nae ongea uwe unaongea nae kiutu uzima unamwambia namna bora ya kujiepusha na hayo yote.. Wengi huogopa maswali ila inabidi tu
 
Pole mkuu, nazani mzee wako hana ubaya ila ni katika zile kushow love kwa watoto wake, kuna wakati inabidi awe mkali kwa maslahi yako ya baadae .

Kama amekusomesha amekupa vitu vyote ulivotaka amemheshimu na mama yako hana shida yeyote..
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…