Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
KWANZA asiwaze UrithiKwauzoefu wangu hiyo ni hali ya kawaida kwa vijana wengi wa rika kama lakwako ni stage tu katika ukuwaji wa ubongo wako ,Utaanza kumuelewa baba yako ukitimiza miaka kuanzia 35+
Na ndo hapo mahusiano hayawi sawaNajua ulikuwa na nia nzuri lakini ukishamkanya na kumweleza mtu akawa anarudia, unamwacha dunia itamfundisha, ukiendelea mtagombana tuu hata kama ni mtoto wako, na inawezekana hatuko right kuliko wao
Unajua hapa kuna context nyingi sana za kuongelea...Ndio maana ukiwaangalia Watanzania/ waafrika wengi ni kama wana matatizo ya afya ya akili. Maofisini, kwenye biashara, celebrities, wanasiasa etc
Mtu anaona bora afukuze mtu kazi na wengine wapo radhi waue ili kuepuka simple criticism.
Violence kuna namna inatengeneza watu wenye matatizo makubwa sana ya kihisia na kiakili. Angalia tu sehemu zilizopitia ubaguzi mkali kama blacks wa South Africa, USA, India.. Kuna namna utaona tabia zao zinafanana haswa kwenye kuzoea na kutenda violence
Kwa hiyo jamaa namuelewa,
Watoto wenye ufahamu mkubwa huwa hawapo kwenye hilo group la "wengi". Huwa wanaangalia usahihi wa kitu na sio mazoea ya watu. Ndio maana kwako ilikuwa kawaida ila kwake haikuwa kawaida
Kuna ukweli, at 35 mabuda wengi wa kibongo wako 70s wameshajichokea na wewe una drama zako nyumbani wanakusumbua kama ulivyomsumbua buda wako, kamoja kamekimbia home na kengine kana miaka 8 hakajui kusoma halafu ukiangalia life limekuchapa vizuri, ukiangalia zaidi unaona life kwa buda ilikuwa poa kuliko yako, akili itarudi tuuKwauzoefu wangu hiyo ni hali ya kawaida kwa vijana wengi wa rika kama lakwako ni stage tu katika ukuwaji wa ubongo wako ,Utaanza kumuelewa baba yako ukitimiza miaka kuanzia 35+
Na kuelewa sanaJifunze sanaa ya kuvunjika na kuunganishika. Na hii inafanyika kwa kuamsha empathy, empathy itakusaidia kuwaelewa watu na kuelewa kwanini wanafanya wanachofanya na kuelewa it has nothing to do with you, imetokea tu you are just a collateral damage. (This is being said, elewa kuwa mzee wako alifanya ubaya, alikuwa na uchaguzi wa kutofanya ubaya ila hakuweza, kwasababu mbalimbali) Ukielewa hili unaweza msamehe kwa haraka sana.
Naelewa kuna watu ni toxic kuwasamehe haiwasaidii wao bali inakusaidia wewe.
Trauma was never our fault, healing is our responsibility.
Master the art of resilience.
Alamsiki.
I said simchukii ila kile kilicho happen na jinsi a navyo ona maisha na mambo kwa ujumla plus kile kimehappen katika ukuaji wangu una nifanya nisione commonness baina yetu.. Msiniquote vibaya.Siku ukioa kama utaoa, utakuja kumuelewa mshua....kwa sasa endelea kumchukia
Umeandika sentensi "to cut the story" mara 3 ila bila uvumilivu ni gazeti la mwananchi kabisa.Kila binadamu huwa anakuwa na mtihani wake... Leo nimeona nitoe japo snippet yangu, kwa vile hili jukwaa ni kubwa nadhani naweza kupata mtu wa kunibadilisha mawazo..
Kwanza kabisa.... I'll be 29 this month. Na kuna vitu huwa navipuuza but they're starting to make clear sense now..
Si unajua utu uzima dawa Buddha! So japo mapambano yanaendelea kuna time inabidi uwe vulnerable kidogo uache ego ikae pembeni maana haiweki chakula kwenye sahani wala kulipa kodi.
So, kufupisha stori ni hivi...
Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena... Maana Kadri siku zinavyoenda nazidi kupata picha yake halisi na ninazdi kukosa connection nae kabisa sioni kama kuna umoja kati yetu..
Ninamheshimu sana mzee, amenipa maisha, ya kipekee sana, katusomesha, he was overly protective. Ila alikuwa sijui itakuwa sahihi kusema kapitiliza kutoa protection..
Baba yetu alikuwa mtu wa perfection yaani hataki kusikia ulisahahu nini, alikuwa hataki mazoea na watu growing up nimelelewa maisha ya geti kali.. Hatukua wa kishua hata ila ni vile tu mzee alikuwa na secure job.
Mama yangu was such a best woman ever existed (may she rest easy)
Sitaki kwenda deep zaidi, ila hayo maisha ni mabaya sana kwa watoto. Yanawaharibu sana kisaikolojia..
Mzee wangu alikuwa so controlling na ikifika hatua by the age of me getting to secondary school nikawa naona kabisa haya maisha sio right.. Yaani he was dealing with alot for sure, but even when since mom was still available akifanya vile vile kwake, so nimekuwa nikiona familia iliyo njema na yenye furaha kwa nje, but giza likitanda usiku ni hatari.. Kelele torture kwa wanaishi ndani.
Sitaki kuingia sana kuelezezea nini kulikuwa kinatokea ila nahisi mmepata picha sahihi..
Ili fika kipindi ikawa ukifika muda wa kurudi shule moyo unafurahi... Ila bado unatoka home na Maumivu tu, yaani it was hell... Na ukiwa mtoto wa kiume inapaswa umezee ndani. Usiwe weak, usiwe coward..
My school life was nerve wrecking, I never enjoyed it.. Hata ndugu hawakutaka kusikia kuhusu mimi na drama za mzee wangu. It was lonely as fvck.. It reached a point nikawa suicidal kabisa.. Ningekuwa najua mbinu za Kujimaliza ningelifanya hivyo.. I always thought of my mom.. Na hata kifo chake mzee pia alichagiza(she was tired of all the mess)... Na muda nikikaa kufikiri huwa natumia vibaya sana.
Kupunguza stori, ni kuwa beside yote hayo mzee katufunza kuwa disciplined, alikuwa ni mtu wa nothing happens usipo jituma. Na ilinisaidia sana kuperform shule I despite mazito niliyo kuwa na pambana nayo ndani.
Ila with all the chaos, nilipo fika chuo nilisema mazima home, or tuseme nilikuwa soo tired hata kumface mzee machoni ilikuwa trauma inducing. Ilikuwa hata akinioigia simu natetemeka kuokota.. Hiyo ni miaka ya 2021 na huko na maliza chuo nikasema.. I have nothing to do with him, nikajiapia ntarudi ila I was terribly tired of thinking atakuwa sawa. Ilikuwa ni kelele daily aisee..
Sasa baada ya kutoka home life ilikuwa ngumu mbaya mbovu... Sijawahi kuona uchungu wa kutafuta wazee, that's when life kicked me to the curve. Nililala chini mimi. All I had was money ya kodi tu. Nikifanya kazi kama mtumwa, na sijui hata ujasiri huo Ulitoka wapi.. All I did was for money, imagine unafanya kazi kutwa unapata elf5? Hapo Natafuta Ajira ya kujishikisha.
All was well, baada ya muda nikaanza kuwa stable, na maisha ya kaanza kuwa smooth, but trust me kuna muda kidogo nirudi home, ila ili shindikana kwa sababu ningeaibika tu. I worked my ass off nikaanza kuona matunda.. Japo Sija fika ila I see progress.
So baada ya miaka kama mi3 hivi ya ku struggle ndo sasa naanza kuiona picha halisi ya mzee, wangu. He only instilled fear on me. Nimejikuta nikichukia watu sana, nikichukia hasa kuona mtu ana I control... Hasa makazini. Sipendi mtu aniamrishe(huwa ina induce pain kutoka kwa mzee wangu)
I know ni kwa sababu ya zile kumbukumbu za mzee wangu, nimekuwa nikijibizana sana na maboss kazi baada ya kazi, nataka niwe my own boss. Ila we both know sio rahisi. Maisha ya nahitaji kujishusha ila kwangu inakuwa kipengele maana huwa naweza kuwa people pleaser au kujiona kupitiliza(hii ni imbalance ya bad treatment utotoni)
Najaribu kujifunza na kuwa bora, na naona matokeo kuhusu hilo(it's taken me years of shadow work)
Tukiachana na hayo yote, baada ya muda mrefu mzee amekuwa kama anataka nirudi, najua uzee na upweke utakua unammendea ila sioni kama nitaweza hata kumface tena.
Hivi unajua ile ya kuwa huna commonness na mtu? Yaani unajua kabisa huyu ni mtu wa namna gani, na unajua hata iweje hawezi kuwa wamoja?
Ndo ninavyo mwona baba yangu, I do respect and love him for being a good Dad. Ila ile treatment yake udogoni iliniharibu vibaya sana mustakabli wa maisha yangu, nimesha samehe na namtakia afya na maisha marefu sana but sioni kama tutakaa kuelewana tena. Yeye ana namna anayaona mambo ambavyo mimi sioni..
So kama mtu mzima, na utu uzima dawa nimeona hakuna haja tena ya kukaa na jambo lenye kuja kuwa na impact ambayo mimi huenda nisiione now.
Ningependa kama tungeacha drama kidogo katika hili, ingependeza kidogo.
Kitu ambacho hukukifahamu na hujakifahamu hadi leo ni kwamba wewe siyo mtoto wake. Ni hivi: Mama yako alimbambikia huyo unayemuita baba mimba yako na ndiyo sababu anakuchukia.Kila binadamu huwa anakuwa na mtihani wake... Leo nimeona nitoe japo snippet yangu, kwa vile hili jukwaa ni kubwa nadhani naweza kupata mtu wa kunibadilisha mawazo..

🤣🤣🤣Ilikuwa siri ya familyKitu ambacho hukukifahamu na hujakifahamu hadi leo ni kwamba wewe siyo mtoto wake. Ni hivi: Mama yako alimbambikia huyo unayemuita baba mimba yako na ndiyo sababu anakuchukia.
Sasa umejua. Uamuzi ni wako.
Hayo yana uhusiano gani na mada? Nilisema tuache drama pembeni.. Nilipaswa ni sikujibu ila imenibidi kwa faida ya wengineUmeandika sentensi "to cut the story" ila bila uvumilivu ni gazeti la mwananchi kabisa.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Akili za Gen Z ni uhitaji wa kulelewa kimideko mideko tu hatimaye ndiyo zao la akina Juniors mgeni akikaa sebuleni anaangalia TV naye anafika hajamsalimia anabadili channels, analilia soda na kumkodolea macho ya kifedhuli kama waasi boko haramu.Ndio maana ukiwaangalia Watanzania/ waafrika wengi ni kama wana matatizo ya afya ya akili. Maofisini, kwenye biashara, celebrities, wanasiasa etc
Mtu anaona bora afukuze mtu kazi na wengine wapo radhi waue ili kuepuka simple criticism.
Violence kuna namna inatengeneza watu wenye matatizo makubwa sana ya kihisia na kiakili. Angalia tu sehemu zilizopitia ubaguzi mkali kama blacks wa South Africa, USA, India.. Kuna namna utaona tabia zao zinafanana haswa kwenye kuzoea na kutenda violence
Kwa hiyo jamaa namuelewa,
Watoto wenye ufahamu mkubwa huwa hawapo kwenye hilo group la "wengi". Huwa wanaangalia usahihi wa kitu na sio mazoea ya watu. Ndio maana kwako ilikuwa kawaida ila kwake haikuwa kawaida
Umeandika hoja yako kwa mihemko sana mkuu...Akili za Gen Z ni uhitaji wa kulelewa kimideko mideko tu hatimaye ndiyo zao la akina Juniors mgeni akikaa sebuleni anaangalia TV naye anafika hajamsalimia anabadili channels, analilia soda na kumkodolea macho ya kifedhuli kama waasi boko haramu.
Huruma si malezi, mtoto wa kiafrika akiwa kijana anayejitambua inabidi amshukuru sana babaake hata kumshonea suti kwa malezi bora ukilinganisha na wale waliolelewa kimayai mayai na kuona jinsi gani kizazi cha sasa ni bomu lisilozuilika kulipuka kwa kukosa maadili na kutujazia wavutaji wa madawa ya kulevya, wasiojituma kula kwa jasho wakitishia amani wazazi wao ili wawarithishe mali kabla ya muda wao ilihali si walemavu na wamesomeshwa na kupewa maarifa ya kujitafuta, wasagaji, mashoga na wabishi na wajuaji wa kila kitu kisichokuwa na faida.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Muache na maisha yake, ANZA YA kwako na rekebisha alipoishia.I said simchukii ila kile kilicho happen na jinsi a navyo ona maisha na mambo kwa ujumla plus kile kimehappen katika ujuaji wangu una nifanya nisione commonness baina yetu.. Msiniquote vibaya.
Leo mtu akiniuliza kuhusu mzee ni vingi mno vizuri kafanya na nimejifunza kutoka kwake.
Si ulileta mada watu waijadili kwa mitazamo tofauti, kumbe ulishakuwa na majibu yako kichwani? Hatuwezi kuwa na mitazamo sawa, ila nina uzoefu wa kuishi mikoa mingi Tz na nnje ya nchi kwa waafrika waliolea kizazi cha 1980 kwa filosofi za mzazi wako kimenyooka vizuri tu ukilinganisha na hiki cha sasa.Umeandika hoja yako kwa mihemko sana mkuu...
Unge soma uzi kwanza kabla ya kuja na kashfa ambazo sijaziandika..
Kwanza nilisema namheshimu sana my Dad for being a great dad.. (ukisoma)
Pili, mimi kutoka home na kwenda kustruggle kivyangu is an indication hata sioni mali na vitu anvyo vimiliki... It's meaningless kama sikuwa in a better position kihisia na ya nini hayo yote kama hakuna upendo?
Cha mwisho ni kuwa si kila aliye lelewa na wazazi wagumu na kupewa malezi "bora" huwa wanakuwa wazazi bora hasa hasa wanashindwa ku adapt na jinsi maisha ya navyo badilika... Culture na msimamo mingine imesha pitwa na wakati.
Endelea kujidanganya na malezi ya tamthilia za wafilipino uje ulete majibu ya aina ya watoto utaokuwa nao kesho.Umeandika hoja yako kwa mihemko sana mkuu...