Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

Pole sana
Naamini kwa kuandika humu kuna hatua utavuka na kuachilia hayo, ili uanze kuishi kwa kujipa furaha na upate familia utakapo oa. Omba upande mke mwema mtakuwa sawa kwa mengi pia.

Hili swala la maumivu watoto wanapata wengi hawaelewi trauma inavyopiga mtu baada ya matukio.

Omba Mola akupe muongozo ukamuone Mzee, unaweza mwambia unavyosikia mtakuwa sawa tu. 😍

Wazazi jamani watoto muwalee vyema.
 
Si ulileta mada watu waijadili kwa mitazamo tofauti, kumbe ilishakuwa na majibu yako kichwani? Hatuwezi kuwa na mitazamo sawa, ila nina uzoefu wa kuishi mikoa mingi Tz na nnje ya nchi kwa waafrika waliolea kizazi cha 1980 kwa filosofi za mzazi wako kimenyooka vizuri tu ukilinganisha na hiki cha sasa.

Reference angalia vijana waliopo mitaani sasa na wa enzi hizo, chuja pumba na mchele utagundua we mwenyewe ndiye jipu.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Siko kwa ajili ya kukuvalidate mkuu
Waza unacho waza ila jua am not what you think, hainiongezei wala kunipunguzia kitu
 
Pole sana Elevenn kwa yote unayopitia na asante sana kwa ujasiri wa kutushirikisha. Ni jambo zito sana kufunguka hivi, na ni muhimu ujue kwamba hisia zako ni halali kabisa.

Ni kweli kabisa, malezi ya aina hiyo unayoelezea yanaweza kuacha makovu makubwa sana kisaikolojia, na ni jambo la kawaida kabisa kujisikia kama unavyojisikia sasa hivi. Kujisikia kutokuwa na connection na mzazi, hasa baada ya kupitia changamoto kama hizo, ni hisia ambayo watu wengi huipitia.

Inaeleweka kabisa jinsi unavyohisi kuhusu "picha halisi" ya baba yako inavyozidi kujitokeza. Ni jambo gumu sana kusawazisha heshima unayompa kwa yote aliyokufanyia na maumivu aliyoyasababisha.

Unapofikia umri huu wa miaka 29, ni wakati muhimu wa kujitathmini na kuweka mipaka inayokulinda wewe mwenyewe. Usikate tamaa kabisa. Ingawa huoni dalili ya kuwa sawa na mzee wako kwa sasa, jambo muhimu zaidi ni wewe kuwa sawa na nafsi yako na kujiponya. Unaweza kujijengea maisha yenye amani na furaha, tofauti na yale uliyoyapitia utotoni.

Kuna njia nyingi za kuponya majeraha ya zamani, na kuanza safari yako ya uponyaji ni hatua ya kwanza muhimu sana. Kujua na kutambua hisia zako tayari ni mwanzo mzuri.

Tuko hapa kukusikiliza na kukupa support. Endelea kushiriki nasi, inaweza kukusaidia sana.

JF AI
 
Si ulileta mada watu waijadili kwa mitazamo tofauti, kumbe ilishakuwa na majibu yako kichwani? Hatuwezi kuwa na mitazamo sawa, ila nina uzoefu wa kuishi mikoa mingi Tz na nnje ya nchi kwa waafrika waliolea kizazi cha 1980 kwa filosofi za mzazi wako kimenyooka vizuri tu ukilinganisha na hiki cha sasa.

Reference angalia vijana waliopo mitaani sasa na wa enzi hizo, chuja pumba na mchele utagundua we mwenyewe ndiye jipu.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Naelewa kuna mpasuko mkubwa ndio linapo kuja swala la malezi pia kama mtu mzima lazima ujue what works now si kile kilichomfanya kazi miaka hiyoo

Nakuhakikishia leo ukiwatundika wanao na kuwa chapa wakiwa uchi utapelekwa ndani kwasababu ya kufanya ukatili.

It's only those wise parents that can link up the good parenthood ya kizamani na mabadiliko socially ya sasa.

Sikukatalii point yako, ndo maana nikasema sio wote waliopata malezi hayo wamekuja kuwa wema, wengi yamewafanya kuwa toxic
 
Nina mdogo wangu anaichukia kisa ninekuwa mstari wa mbele kumkanya.
Lakin makosa yake nishaitwa shuleni mara kobao sasa come to think about it i only want best for him

Ukali wangu ni kutokana na mambo yake. Mfano alikutwa chini ya daraja na wenzake wanavuta bangi. At school kanunua konyagi na wenzake wanapiga class.

Upande wake anaona sawa. Upande wangu naona sio sawa...

If he sat down and think even for a minute ni kwa nini nakuwa mkali kwake ataelewa its all out of love. I spoke to him sat down with him, still does what he does

Ila perhaps anaelewa just today called me nakuja kukusalimia kaka. Sebuleni tumekaa tuna watch movie less talk. Just sitting around him playing with my kid. ...

Baba yangu ni mkali kuna siku naumwa anagomba kwa nini humezi dawa kwa wakati. Ila najua anagomba to him is a way ya kusema pole mwanangu. Within he cares most🙂

Kwa nini, mbali na ukali wote kuna siku accidentally niliona will yake mali zake zote kaniandikia mimi na ndo first born..kaandika kabisa atasimamia na kuwagaia wadogo zake

Kuna siku pia nilishamsikia akimwambia mtu mali zangu namwachia mwanangu mmoja tu yeye ndo ana akili ya kuziendeleza wengine atawaangalia yeye...

🙂
Hakika it is all for love,

Kuna time namwelewa sana hata mzee wangu, na I feel him ila kwa yeye kutokujua kuwa anafanya vitu vingine based on his own pain na bado anaambiwa lakini bado a Narudia tu...

Naona ananitupia sensitive mesaages every now and then, ila yaani mimi naona kabisa we don't belong! Like hakuna kitu cha kutu weka pamoja for now, lazima kutakuwa na chaos, Atleast that what's happened all my childhood.

So na kuelewa kabisa mzazi sometimes anafanya for love
 
Kitu ambacho hukukifahamu na hujakifahamu hadi leo ni kwamba wewe siyo mtoto wake. Ni hivi: Mama yako alimbambikia huyo unayemuita baba mimba yako na ndiyo sababu anakuchukia.
Sasa umejua. Uamuzi ni wako.
Kati ya wananae mimi ndo nafanana na mshua copyright so hii comment yako itafurahisha watu for nothing
 
Ni jambo la Muda, utakuwa sawia na mshua wako na utajua kwanini alikuwa anafanya aliyokuwa anafanya.

Unajua Wazee wa zamani wamejikaririsha kuwa Baba anatakiwa awe kauzu, na ndio Pride ya Wababa wengi.
Lakini hii haimaanishi kuwa haipendi familia yake.

Unachokosea ni Kuhusisha hayo malezi na jinsi wewe ulivyo.
Unajua kila mtu ana tabia zake za ndani. Na zinajidhihirisha pindi mtu huyo anapokuwa huru. Independent.

Nadhan unajijua kuwa ww una Ego,
Maana hata hii ya kuona mzee wako hakuwa sawa ni part ya hiyo Ego yako. (Tayar ushaona kuwa hakustahili kufanya alivyofanya juu yako).
Guess what! Alistahili. Ww ni mtoto wake na amekunyoosha the way ambavyo yeye aliona ni sawa.
Umemsifia kuwa kakufundisha Discipline. Well na hayo mengne ambayo unahisi sio sawa yalikuwa part ya somo la Discipline.

All in all, let it go. Appreciate what is done, and make peace with the past.
 
Na ndo hapo mahusiano hayawi sawa

Kuna dogo nilikuwa namwelekeza soma maisha yako magumu hatari...akanijibu mafundi wanalipww 25 a day na chakula juu.

Nadhani something is missing, TV au company imafanya vijana waone kila kitu ni adui kwao

Unakuta mtu anashinda online anasema kataa ndoa na hajawahi ishi na mwanamke ndani yeye anaokota anajipigia

Kuna dogo. Anaitwa yenbe sijui yuko wapi alikuwa huku kipindi flan. Anajipiga picha dushe anatumia mademu humu ndani. Ashapigwa bani nyingi yeye kwake ni ufahari mkubwa.....Mtu kama something a miss hawezi ona

Kila mtu ana mapungufu yake
Kupitia huu uzi nimejifunza nitumie au nitafakari njia mbadala ya kuwafundisha ukali ukiwemo..Isije siku wanangu wakaniona mbaya
.....
Mmh aisee
Kuna watu kama Wameshindikana kabisa. Huwa inawachukua lifetime kuja wakajue wanacho kifanya sio sahihi
 
Kati ya wananae mimi ndo nafanana na msua copyright so hii comment yako itafurahisha watu for nothing
The word "Copyright" does not belong in this sentence,

It means the legal right to copy creative work, You might be thinking of a word like "physically," "genetically," or "completely."
 
Pole mkuu. Ila mbona maelezo yako hayathibitishi ubaya wa mzee wako? Unahitaji msaada wewe mwenyewe. Mzee wako unamuonea kwa kuendelea kumchukia kwa mambo ya zamani. Tafuta msaada wa kiroho na kisaikolojia. You don't have to like your father but you still need to love him.
I never said I dislike my Dad..

He taught me resilience and discipline, he's given his all to provide a life for me. I never dismissed that. We just have nothing to put us together for now, Atleast that's what I can say.
 
Nenda m face mzee, kama wote mnakunywa tafuteni sehemu muongee polepole

Wazee wengi hujirudi mwishoni na hujutia makosa yao
Ushauri mzuri sana, ila kwa sasa inakuwa ngumu sana, because I don't think if I'm ready for that... But I do wanna face him sincerely.. Ila najua tu lazima old wounds zitakuwa triggered
 
Back
Top Bottom