cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Siko kwa ajili ya kukuvalidate mkuuSi ulileta mada watu waijadili kwa mitazamo tofauti, kumbe ilishakuwa na majibu yako kichwani? Hatuwezi kuwa na mitazamo sawa, ila nina uzoefu wa kuishi mikoa mingi Tz na nnje ya nchi kwa waafrika waliolea kizazi cha 1980 kwa filosofi za mzazi wako kimenyooka vizuri tu ukilinganisha na hiki cha sasa.
Reference angalia vijana waliopo mitaani sasa na wa enzi hizo, chuja pumba na mchele utagundua we mwenyewe ndiye jipu.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Naelewa kuna mpasuko mkubwa ndio linapo kuja swala la malezi pia kama mtu mzima lazima ujue what works now si kile kilichomfanya kazi miaka hiyooSi ulileta mada watu waijadili kwa mitazamo tofauti, kumbe ilishakuwa na majibu yako kichwani? Hatuwezi kuwa na mitazamo sawa, ila nina uzoefu wa kuishi mikoa mingi Tz na nnje ya nchi kwa waafrika waliolea kizazi cha 1980 kwa filosofi za mzazi wako kimenyooka vizuri tu ukilinganisha na hiki cha sasa.
Reference angalia vijana waliopo mitaani sasa na wa enzi hizo, chuja pumba na mchele utagundua we mwenyewe ndiye jipu.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Hakika it is all for love,Nina mdogo wangu anaichukia kisa ninekuwa mstari wa mbele kumkanya.
Lakin makosa yake nishaitwa shuleni mara kobao sasa come to think about it i only want best for him
Ukali wangu ni kutokana na mambo yake. Mfano alikutwa chini ya daraja na wenzake wanavuta bangi. At school kanunua konyagi na wenzake wanapiga class.
Upande wake anaona sawa. Upande wangu naona sio sawa...
If he sat down and think even for a minute ni kwa nini nakuwa mkali kwake ataelewa its all out of love. I spoke to him sat down with him, still does what he does
Ila perhaps anaelewa just today called me nakuja kukusalimia kaka. Sebuleni tumekaa tuna watch movie less talk. Just sitting around him playing with my kid. ...
Baba yangu ni mkali kuna siku naumwa anagomba kwa nini humezi dawa kwa wakati. Ila najua anagomba to him is a way ya kusema pole mwanangu. Within he cares most🙂
Kwa nini, mbali na ukali wote kuna siku accidentally niliona will yake mali zake zote kaniandikia mimi na ndo first born..kaandika kabisa atasimamia na kuwagaia wadogo zake
Kuna siku pia nilishamsikia akimwambia mtu mali zangu namwachia mwanangu mmoja tu yeye ndo ana akili ya kuziendeleza wengine atawaangalia yeye...
🙂
Kati ya wananae mimi ndo nafanana na mshua copyright so hii comment yako itafurahisha watu for nothingKitu ambacho hukukifahamu na hujakifahamu hadi leo ni kwamba wewe siyo mtoto wake. Ni hivi: Mama yako alimbambikia huyo unayemuita baba mimba yako na ndiyo sababu anakuchukia.
Sasa umejua. Uamuzi ni wako.
Mmh aiseeNa ndo hapo mahusiano hayawi sawa
Kuna dogo nilikuwa namwelekeza soma maisha yako magumu hatari...akanijibu mafundi wanalipww 25 a day na chakula juu.
Nadhani something is missing, TV au company imafanya vijana waone kila kitu ni adui kwao
Unakuta mtu anashinda online anasema kataa ndoa na hajawahi ishi na mwanamke ndani yeye anaokota anajipigia
Kuna dogo. Anaitwa yenbe sijui yuko wapi alikuwa huku kipindi flan. Anajipiga picha dushe anatumia mademu humu ndani. Ashapigwa bani nyingi yeye kwake ni ufahari mkubwa.....Mtu kama something a miss hawezi ona
Kila mtu ana mapungufu yake
Kupitia huu uzi nimejifunza nitumie au nitafakari njia mbadala ya kuwafundisha ukali ukiwemo..Isije siku wanangu wakaniona mbaya
.....
The word "Copyright" does not belong in this sentence,Kati ya wananae mimi ndo nafanana na msua copyright so hii comment yako itafurahisha watu for nothing
It was just a slang mkuuThe word "Copyright" does not belong in this sentence,
It means the legal right to copy creative work, You might be thinking of a word like "physically," "genetically," or "completely."
I never said I dislike my Dad..Pole mkuu. Ila mbona maelezo yako hayathibitishi ubaya wa mzee wako? Unahitaji msaada wewe mwenyewe. Mzee wako unamuonea kwa kuendelea kumchukia kwa mambo ya zamani. Tafuta msaada wa kiroho na kisaikolojia. You don't have to like your father but you still need to love him.
Ushauri mzuri sana, ila kwa sasa inakuwa ngumu sana, because I don't think if I'm ready for that... But I do wanna face him sincerely.. Ila najua tu lazima old wounds zitakuwa triggeredNenda m face mzee, kama wote mnakunywa tafuteni sehemu muongee polepole
Wazee wengi hujirudi mwishoni na hujutia makosa yao