Mimi naamini kila dhambi lazima uilipie

Mimi naamini kila dhambi lazima uilipie

Tumia Hii Mifumo Iliyokufa Zamani
MKUKUTA
MKURABITA
Tasaf
Big Results Now
 
😱


"Watatubu" siku zao zikifika.

Unaanza kujiuliza 'sijui watanitumia watu nizikwe nao' karma, what a beach.
 
Mi naamini kila dhambi lazima uilipie, ulipaji unaweza chelewa ila lazima muda ufike uwajibike...
Usijali

Muda sio mrefu tutakutana Dodoma!

Nitakurudishia fedha zoote za mafuta ya gari alizokupiga jamaa kipindi kileeeee wakati penzi limekolea!

Wanaume tunaoishi na wa mama Watoto na kulea Familia huku tukiwekeza vitega uchumi tunahitaji maombi sana coz siku Mama akishiba akapiga u turn na sheria zetu mbovu inakula kwetu!!!

Michepuko ina balance equation ya joto la ndani likiwa kubwa Ili tusiungue huku tukibaki Njia kuu bila hivyo mbona wengi tungeshakufa KWA stress!!!?

"Yupo atakaekuja kujitoa mhanga kwako kama sio Mimi mwingine"Ndio kujitoa mhanga"""!!! Maana hatuzijui reaction ya shibe zenu pia"!

"Jipe moyo songa mbele Baba mwenyezi anakuona inawezekana nyakati zako za umakamo na uzeeni zikawa tamu na za msisimko kuliko Hata ujana wako,Maisha ni fifte fifte""!
 
Aisee wewe mtu nenda Kwa mangi chukua safari ya baridi nakuja kulipa ukweli ndio huo
Na kibaya zaidi watu bado hawajaligundua hilo "ukikielewa kifo umeyaelewa maisha"

Nmelala hapa kwa mangi bill ni kubwa sana utaiweza😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom