Karma inafanya kazi kama wee ni Mtakatifu kwelikweli.
Lkn Et kisa umetendwa basi ndo karma impate mtu, wakati we mwenyewe ni mmbeya, muongo, mzushi ,mfitini , unadharau watu n.k
Hiyo ni utasubir karma mpaka macho yatapofuka na hujaona !!.
ALAFU, UKITENDWA ,MTU AKAKUUMIZA, WEE ACHA KUMWOMBEA NJAA
DUNIA NI KUBWA, WANAUME WAMEJAA, WANAWAKE WAMEJAAA !!
utajisikiaje, Unayemaombea Njaa, ndo anazidi Kunona??..... Watu wengi mnatabia ya kuwaombea Ma Ex wenu wakongoroke, wasifanikiweee.
Weweeeee, ungejua Hilo, usingetiana mpaka Wakati wa NDOA .!!
KAMA HUKUSIKILIZA BIBLIA NA MAFUNDISHO YA DINI UNGALI MTOTO, KUA TENDO LA NDOA, LIFANYWE WAKATI WANDOA TU.
wee umelianza mapema, alafu unaombea Karma??.
Aaahhh wajubaa, msifanye mambo kua magumu !!.