Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini unalopenda kufanya hulifanyi na usilolipenda ndio unalifanya ni kwa sababu ya ile dhambi iliyoko ndani yako na hiyo dhambi ni ya kurithi. That is according to the scriptures.Mshahara wa dhambi ni mauti
Hebu niache😁Tatizo unaruka ghafla ghafla sana😁😁😁
Kwa hio jamaa kala mzigo kamaliza kashiba kisha katokomea maporini?unamwaminisha MTU mpo safari moja kumbe umeaminisha wengi-wastage of time(hili limenipata but time will tell)
Ndiyo Mkuu,ulitaka nn?
Ndiyo Mkuu,ulitaka nn?
Daah nchi ngumu hii.We
Dhambi zako za kuliwa umeilipia?
Kaka yu are genius watu wanajidanganya et karma karma wakat na wao washawah watendea watu ubayaKarma inafanya kazi kama wee ni Mtakatifu kwelikweli.
Lkn Et kisa umetendwa basi ndo karma impate mtu, wakati we mwenyewe ni mmbeya, muongo, mzushi ,mfitini , unadharau watu n.k
Hiyo ni utasubir karma mpaka macho yatapofuka na hujaona !!.
ALAFU, UKITENDWA ,MTU AKAKUUMIZA, WEE ACHA KUMWOMBEA NJAA
DUNIA NI KUBWA, WANAUME WAMEJAA, WANAWAKE WAMEJAAA !!
utajisikiaje, Unayemaombea Njaa, ndo anazidi Kunona??..... Watu wengi mnatabia ya kuwaombea Ma Ex wenu wakongoroke, wasifanikiweee.
Weweeeee, ungejua Hilo, usingetiana mpaka Wakati wa NDOA .!!
KAMA HUKUSIKILIZA BIBLIA NA MAFUNDISHO YA DINI UNGALI MTOTO, KUA TENDO LA NDOA, LIFANYWE WAKATI WANDOA TU.
wee umelianza mapema, alafu unaombea Karma??.
Aaahhh wajubaa, msifanye mambo kua magumu !!.
Hakuna kitu kama hicho kinaitwa karma is just an illusion. Mtu anayeamini hivyo ni sawa na imani tu kama za dini. Mimi naangaliaga wazungu walivyodhurumu babu zetu but mpaka leo wanatoboa tu kama sio kutusuaMi naamini kila dhambi lazima uilipie, ulipaji unaweza chelewa ila lazima muda ufike uwajibike.
Usichopenda kutendewa usimtendee mwenzio. Usipende kuvuruga amani ya moyo ya MTU Mwingine kwa kumkomoa tu huku wewe ukiendelea kuenjoy.
Unadanganya kibiashara, kifedha, kifamilia, kijamii na kimapenzi, pesa unakopa hulipi, unafanya biashara na MTU unadhurumu, unadanganyia pipi na kutishia visu watoto unawabaka, unamwahidi kumwoa unamwachia mimba unasepa, unaua wazazi kwa tamaa za mali.
Unatelekeza familia sababu ya anasa, unamwaminisha MTU mpo safari moja kumbe umeaminisha wengi-wastage of time(hili limenipata but time will tell). Karma is real tusipojirekebisha wapendwa.
Ndiyo Mkuu,ulitaka nn?