Mimi naamini kila dhambi lazima uilipie

Kunywa chochote nalipa. Namaanisha chochote...bill juu yangu.
 
Upo Kama Mimi aisee roho ya kisasi nje nje ,,Kuna mtu anajitahidi kunichafua kazini sana
 
Mjadala mzito lakini hoja nyingi ni nyepesi sanaa. Mimi siamini kama karma huwa inafanya kazi. Tumeshasaidia sana watu na matokeo yake wameishia kutudharau na kutuona takataka lakini
 
Siyo unavyoamini, ndivyo ilivyo, hakuna dhambi isiyo na majibu,tena ni hapa hapa duniani.Na mazingira utakayolipwa ni lazima ujuwe kuwa this is a payback for what i did,Mungu ni fundi sana..
 
Kwenye dini inasema tuombe msamaha ili tusamehewe, kwenye dini inasema unapofanya ubaya utakurudi kama sio wewe kizazi chako. Sasa kama nishatubu kwa kosa langu hii karma kwanini ije inifike??.
Double entry ya Dhambi
Dr. Hukumu/Laana
Cr. Dhambi

Double entry ya matendo mama
Dr. Baraka
Cr. Matendo Mema

Kiufupi hakuna single entry kwa dhambi au matendo mema, yote yana double entry
 
Time will tell

Hahahahaha miss To yeye muda huwa upo tu na matendo ndio huwa yanazungumza. Sijawahi Ona wale Mayahudi waliomuuwa Yesu kama kuna karma yoyote iliwakuta. Na ndio maana nikasema Kama Karma ipo basi na Fate nayo ipo na hapo ndipo mambo huwa yanabalansi. Hebu fikiria kama utakuwa unaifikiria hiyo karma na kweli ingekuwa inatokea wewe si ungejiona sana Mwamba? Mungu ana njia zake za kudeal na mambo sio kama Binadamu tunavyotaka mambo yawe.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti
 
We
Dhambi zako za kuliwa umeilipia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…