Mimi naamini kila dhambi lazima uilipie

Karma inafanya kazi kama wee ni Mtakatifu kwelikweli.
Lkn Et kisa umetendwa basi ndo karma impate mtu, wakati we mwenyewe ni mmbeya, muongo, mzushi ,mfitini , unadharau watu n.k

Hiyo ni utasubir karma mpaka macho yatapofuka na hujaona !!.

ALAFU, UKITENDWA ,MTU AKAKUUMIZA, WEE ACHA KUMWOMBEA NJAA

DUNIA NI KUBWA, WANAUME WAMEJAA, WANAWAKE WAMEJAAA !!


utajisikiaje, Unayemaombea Njaa, ndo anazidi Kunona??..... Watu wengi mnatabia ya kuwaombea Ma Ex wenu wakongoroke, wasifanikiweee.


Weweeeee, ungejua Hilo, usingetiana mpaka Wakati wa NDOA .!!

KAMA HUKUSIKILIZA BIBLIA NA MAFUNDISHO YA DINI UNGALI MTOTO, KUA TENDO LA NDOA, LIFANYWE WAKATI WANDOA TU.

wee umelianza mapema, alafu unaombea Karma??.


Aaahhh wajubaa, msifanye mambo kua magumu !!.
 
Leo akili zimehamia juu
 
Dunia haijawahi kuwa na usawa katika ulipaji wa dhambi, tunaishi kwenye dunia ambayo mwenye uwezo fulani atamuonea asiyenao kwa namna fulanifulani.

Everything about Karma ni habari ya kuwatia faraja wasiokuwa na huo uwezo, kitu ambacho sio kibaya kwakua kinaepusha visasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…