Mimi naamini wanawake wa JF ni warembo

Mimi naamini wanawake wa JF ni warembo

Itakuwa kweli aisee!
Hata mimi naamini usemavyo. Wapo wengi warembo zaidi ya unavyofikiria.

Zipo kama Avatars 6, naamini ni warembo wanaovutia zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we bado mgeni sana humu,soma mchezo kwanza utalizwa achana nahizo avator!Tushawakimbia sana maeneo ya appointment,unatoa na betri kabisa...mwanamke hujui mbele wapi wala nyuma ni wapi
😂😂😂😂nakubaliana na wewe mkuu
 
Back
Top Bottom