Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya!!!Keyon unachosema ni sahihi
Ila kama ni mimi ningemkataa kibusara. [emoji116]
kumbe mkuuWale hawadate wanatengeneza headline waandikwe
We huoni wale wako kwenye project pale hakuna cha mahusiano wala nini kwenye show ya saida body language na.emotions zao zilionyesha hivyokumbe mkuu
Daah basi kwa maigizo hajamboWe huoni wale wako kwenye project pale hakuna cha mahusiano wala nini kwenye show ya saida body language na.emotions zao zilionyesha hivyo
Upo tayari kuwekeza kwangu au kwenye avatar?
BentokeMkuu wewe ni mtaalamu wa saikolojia mpaka umeona body language ya Bentoke haipo sawa?
BenPol+Ebitoke= Bentoke and EbipolBentoke
Haaaa ha haaaaaAcha tu mpakwa mafuta apate Katerero
Tena la ccm na serikaliMentor sio Katerero tu nampa hadi tetemeko, utuache aseee 😀