Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- DKT. Musukuma ajilipua akichangia hoja Bungeni baada ya kuona pombe.
Wabunge waangua kicheko aka waambia wasicheke hata humo Bungeni ni wengi wanatumia.
Amesema sio Dhambi pia kafanya utafiti kua maprofesa na madaktari wengi ni watumiaji baada ya kustaafu.
Hoja ilikua kwanini sisi Watanzania hatuthamini ubunifu wetu mfano GONGO iboreshwe tuna agiza nje ya nchi jack Daniels, Hennessy E.t.c
Pombe kali ikitumiwa vizuri sio Dhambi naunga mkono hoja ya dokta Musukuma
Ni nini maoni yako.