Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- Dkt Musukuma ajilipua Bungeni

Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- Dkt Musukuma ajilipua Bungeni

Kuishi na kuhisi kwamba wenye vyeti/magamba ya shule/vyuo tu ndiyo wanafaa kuwa viongozi bora wa kuistawisha nchi ni upotofu.Siyo lazima.Kwa ufupi.
Naungana na wew Kuna darasa la Saba wanachangia pakubwa kisukuma gurudumu la maendeleo kuliko wenye vyeti....

Kusoma, vyeti, akili ni vitu TOFAUT kabisa ni maji na mafuta naunga mkono hoja....
 
Inasemekana Kuna viongozi wamesomeshwa na wazazi wao Kwa pesa ya GONGO,
Yaan pombe ya GONGO NDIO imewalea...
Ni kweli kabisa mimi mwenyewe nina watu nimesoma nao walisomeshwa kwa pesa za gongo na pombe zingine za asili. Kuipa gongo brand nzuri si kitu kibaya waitambue waiwekee sheria za viwango watu waanze kupiga pesa bila kuogopa mamlaka
 
Kwenye Hilo Kuna hoja alisema yule mbunge MWANAMKE...

Ninani mtoto wake akipewa ukurugenzi mkuu wa TBL...

Ambae atakataa Kwa kusema Ukurugenzi wa TBL ni DHAMBI...😊😊😃😃🤓🤓
 
Hata hizo Hennessy au JD ni gongo tuu ila zimekuwa branded na kuwekewa viwango, process ya kuzitengeneza haina tofauti na gongo letu, wataalam na serikali wakae chini turekebishe gongo letu likubalike kisheria, tunaharibu pesa nyingi sana kuagiza nje wakati gongo letu ni zuri kuliko Hennessy
 
Bwana Joseph kasheku musukuma ni moto moto..... *** DARASA LA SABA ILA KAFANYA HIVI NDANI YA MIAKA 5....
1..HOSPITALI KAILETA KATANI BADALA YA KATORO
2.HALMASHAURI IKALETWA KATANI BADALA YA KATORO
3.BARA BARA ZA RAMI USISEME MZEE
4.KILA KAKIJIJI KADOGO KAFUNGUA SECONDARY.
5.KILA KIJIJI KAWEKA ZAHANATI

baada ya mwenda zake huyo jamaa Kwa Kanda ya ziwa anaushawishi hata katika kujenga kitu fulani kawazidi watu wana degree 3 kajamaa la saba ila ni moto mjomba
 
True
 
Back
Top Bottom