Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- Dkt Musukuma ajilipua Bungeni

Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- Dkt Musukuma ajilipua Bungeni

Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- DKT. Musukuma ajilipua akichangia hoja Bungeni baada ya kuona pombe.

Wabunge waangua kicheko aka waambia wasicheke hata humo Bungeni ni wengi wanatumia.

Amesema sio Dhambi pia kafanya utafiti kua maprofesa na madaktari wengi ni watumiaji baada ya kustaafu.

Hoja ilikua kwanini sisi Watanzania hatuthamini ubunifu wetu mfano GONGO iboreshwe tuna agiza nje ya nchi jack Daniels, Hennessy E.t.c

Pombe kali ikitumiwa vizuri sio Dhambi naunga mkono hoja ya dokta Musukuma

Ni nini maoni yako.
Means ikitumiwa vibaya ni dhambi? Elezea matumizi mabaya ya pombe yanayofanya iwe dhambi kwa mifano hai.
 
Means ikitumiwa vibaya ni dhambi? Elezea matumizi mabaya ya pombe yanayofanya iwe dhambi kwa mifano hai.
1.mtu Alie kunywa na kuanza kufanya mambo ya ajab ajab....kusinzia sebuleni mbele ya wageni au kikao, kujikojolea, kujinyea,kulala kwenye mitaro..

2.kuto hudumia familia

3.kushindwa kutimiza majukumu ya kazi i.e utoro,kuchelewa kazini

4.Ngono uzembe

5.Ajari Kwa wanao endesha vyombo vya moto.

Kwa uchache......
 
Mm nimeshuhudia baadhi ya Watanzania wachache wenzetu pamoja na kua na ELIMU ya darasa la Saba lakini wana AKILI SANA ZA MAISHA...
SIDHANI KAMA ELIMU PEKE YAKE NDIO IWE KIGEZO...
[emoji4][emoji4][emoji38][emoji38][emoji3526][emoji2]
Nadhani hoja hapa ni darasa la 7 na kazi very technical ya ubunge...huwezi kuwa mbunge mahiri na mwenye uwezo wa kuchambua hoja na miswaada na kupitia makaburasha meengii ya kazi za kibunge kwa elimu ya chini ya first degree. Hili tatizo naliona pia hata kwenye udiwani.
 
Inasemekana Kuna viongozi wamesomeshwa na wazazi wao Kwa pesa ya GONGO,
Yaan pombe ya GONGO NDIO imewalea...
Hata bange, uchangudoa, mitungi nk imesomesha watu, swali ni jee ni ajira sahihi kwa jamii yetu?
 
Nadhani hoja hapa ni darasa la 7 na kazi very technical ya ubunge...huwezi kuwa mbunge mahiri na mwenye uwezo wa kuchambua hoja na miswaada na kupitia makaburasha meengii ya kazi za kibunge kwa elimu ya chini ya first degree. Hili tatizo naliona pia hata kwenye udiwani.
Lakini Kuna darasa la Saba very smart 🤓🤓 & vice versa is true
 
Lakini Kuna darasa la Saba very smart [emoji851][emoji851] & vice versa is true
Sikatai, wapo wengi tuu kiongozi, but kazi ya ubunge is more than kuzungumza pale mjengoni... Bunge linapokaa kama kamati kupitia hoja na miswaada ni kazi ngumu mnoo kama huna watu competent... Ndiyo maana huwa bungeni sometimes wanapitisha sheria lakini muda mfupi tuu baadae zinarudi bungeni. Juzi nimemsikia Prof Muhongo akisema bunge lilifanya makosa makubwa sana kupitisha moja wapo ya sheria za madini za hivi majuzi tuu, kwa maoni yake hiyo sheria inabidi irudi tena Bungeni.
 
Back
Top Bottom