Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- Dkt Musukuma ajilipua Bungeni

Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- Dkt Musukuma ajilipua Bungeni

Mkuu wasomi wa nchi hii ndo wanaosaidia nchi yetu kuendelea kuwa maskini na wananchi wake kuwa mafukara wa kutuowa. Namuelewa sana Dr Musukuma.
Musukuma ana hoja sana kuliko baadhi ya wasomi wetu wengi tena wa degree 3😊
 
Wakati umefika ili kuwa mbunge lazima uwe na elimu ya chuo kikuu
Kishimba pamoja ya kwamba hajasoma sana ana uwezo wa zaidi ya ma profesa 10, na ma dokta 50 kwa pamoja.

Unataka wasomi bungeni kama kina kabudi, ndalichako etc?


Bora tuwe na kina Dr. Msukuma na Kishimba kama 20 bungeni wanatosha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana Joseph kasheku musukuma ni moto moto..... *** DARASA LA SABA ILA KAFANYA HIVI NDANI YA MIAKA 5....
1..HOSPITALI KAILETA KATANI BADALA YA KATORO
2.HALMASHAURI IKALETWA KATANI BADALA YA KATORO
3.BARA BARA ZA RAMI USISEME MZEE
4.KILA KAKIJIJI KADOGO KAFUNGUA SECONDARY.
5.KILA KIJIJI KAWEKA ZAHANATI

baada ya mwenda zake huyo jamaa Kwa Kanda ya ziwa anaushawishi hata katika kujenga kitu fulani kawazidi watu wana degree 3 kajamaa la saba ila ni moto mjomba
Jamaa ana uwezo sana, kweli elimu itumike kwenye fani uliosomea ...haina ujusiano na akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kishimba pamoja ya kwamba hajasoma sana ana uwezo wa zaidi ya ma profesa 10, na ma dokta 50 kwa pamoja.

Unataka wasomi bungeni kama kina kabudi, ndalichako etc?


Bora tuwe na kina Dr. Msukuma na Kishimba kama 20 bungeni wanatosha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kishimba ni mjenga hoja mzuri sana tena kwenye sekta ya ELIMU amekua aki challenge sana mfumo wetu wa ELIMU....
 
Mm nimeshuhudia baadhi ya Watanzania wachache wenzetu pamoja na kua na ELIMU ya darasa la Saba lakini wana AKILI SANA ZA MAISHA...
SIDHANI KAMA ELIMU PEKE YAKE NDIO IWE KIGEZO...
[emoji4][emoji4][emoji38][emoji38][emoji3526][emoji2]
Bungeni kuna kutunga sheria kuna kupitia mikataba je asiye na elimu anaweza fanya hayo?
 
Wauza gongo wawe na umoja, waombe shirika la viwango lipime hiyo gongo, kama Ina viwango iingie sokoni.
Wanasema GONGO Ina methane ambayo ni hatari Kwa afya....
Ila kwakua technologies ime advance wanaweza kuikabili.....

Bukoba Kuna pombe Yao inaitwa (kaitaba) NUMBER ONE A.k.a PURE....

hii uki washa moto inawaka kama kerosene au petroleum 🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom