Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
- #41
Haahaa,Mada pendwa za wabunge
Akizungumza mpina na wabunge wengine wenye hoja nzito,wanatupwa
Kule
Ova
Nimesikia mpina kabishana na Bunge Zima๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaa,Mada pendwa za wabunge
Akizungumza mpina na wabunge wengine wenye hoja nzito,wanatupwa
Kule
Ova
Haaahaaa,"Gongo na iheeeshimiwee" Wanywaji halisi 1:1
Ni sahihi ila tumeaminishwa Kwa miongo Mingi kuacha vya kwetu na kutukuza vya wazungu...Hata hizo Hennessy au JD ni gongo tuu ila zimekuwa branded na kuwekewa viwango, process ya kuzitengeneza haina tofauti na gongo letu, wataalam na serikali wakae chini turekebishe gongo letu likubalike kisheria, tunaharibu pesa nyingi sana kuagiza nje wakati gongo letu ni zuri kuliko Hennessy
Yeah,Kusema kweli bunge lina kila aina ya wabunge, ndio maana wabunge wanaitwa wawakilishi wa wananchi huko bungeni. Si vibaya ku reflect wananchi wanaowawakilisha
Nakubaliana na wewe Matawi ya juu90% ya wabunge wa sasa wana elimu ya chuo kikuu, sijui unafikiria utapata nini kwa kuongeza hizo 10% zilizobaki, bora hata huyo musukuma wakati mwingine anaongea vitu vya maana
Wanzuki huko usukumani....Ni hoja ya mana Sana ,2010 Dr slaa aliwamaliza ccm Kanda ya ziwa
Kwasababu
GONGO kwakanda yaziwa Iko wazi kabisa katika Matumizi ,na kama ingekua iringa ingesemwa ugimbi au comoni
Tofauti yao na iringa ,wazuki inawekwa hasali wakati Kanda ya ziwa wazuki ni inaungwa sukari ,nahili ukiwa mgeni huko na usiwe na mwenyeji umekwisha wao huhisi umeenda kuwafatilia mipango yao
Nihakika na sahihi hapa ni ishu ya branding.....Henessy ni Gongo tena asili yake ni Gongo la Mwafrika!
Grant Whiskey ni Gongo pia
Gongo ni Spirit
Tofauti ni nani anatengeneza Gongo hiyo.
Naunga mkono hoja mara 1000%
Wale wanaodai hoja ya Msukuma imesukumwa na kutokuwa na Elimu ya Mzungu wajitathmini.
Watu waliotoka kwenye mwezi wa toba siku si nyingi, dhambi ni mahusiano ya jinsia moja tu!
Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- DKT. Musukuma ajilipua akichangia hoja Bungeni baada ya kuona pombe.
Wabunge waangua kicheko aka waambia wasicheke hata humo Bungeni ni wengi wanatumia.
Amesema sio Dhambi pia kafanya utafiti kua maprofesa na madaktari wengi ni watumiaji baada ya kustaafu.
Hoja ilikua kwanini sisi Watanzania hatuthamini ubunifu wetu mfano GONGO iboreshwe tuna agiza nje ya nchi jack Daniels, Hennessy E.t.c
Pombe kali ikitumiwa vizuri sio Dhambi naunga mkono hoja ya dokta Musukuma
Ni nini maoni yako.
Ni kweli, vilevile Gongo hiyohiyo ndiyo imewafanya wengine kuwa mabilionea.Inasemekana Kuna viongozi wamesomeshwa na wazazi wao Kwa pesa ya GONGO,
Yaan pombe ya GONGO NDIO imewalea...
Kwa elimu ipii? Kwana tofauti ya La saba na Kidato cha nne ni ipiii? Tofauti ya kidato cha nne na chuo kikuu ni ipiii? Vyeti au?Wakati umefika ili kuwa mbunge lazima uwe na elimu ya chuo kikuu
Niongeze tu, sio branding peke yake kwani Branding kwetu Afrika ni almost Automatic....Watengeneza Gongo wengi wanajulikana kwa Majina yao....Pombe hisi nyingi tunaziona zimebeba majina ya Familia au Jina la mpishi/wapishi wa Gongo, Wanzuki, n.kNihakika na sahihi hapa ni ishu ya branding.....
Kutukuza vya wazungu na kudharau vya kwetu...
Mbunge DKT. MUSUKUMA abarikiwe..........Niongeze tu, sio branding peke yake kwani Branding kwetu Afrika ni almost Automatic....Watengeneza Gongo wengi wanajulikana kwa Majina yao....Pombe hisi nyingi tunaziona zimebeba majina ya Familia au Jina la mpishi/wapishi wa Gongo, Wanzuki, n.k
Serikali inaweza tengeneza familia za mabilonea, tena wa Dollar wawili kila mkoa kila mwaka na kukusanya kodi na mapato mengine kutoka distillery bubu kama za Gongo na vinywaji vingine vya asili kama tu Vitaweza kutambuliwa kisheria Yaani tuna waajiri wetu, tuna uchumi wetu(usio rasmi)tunapumbazwa kuwa ndio hivyo, yani ni uchumi usio rasmi wakati ni business model za kiafrika ambazo tumedumaza kwa sababu elimu tunayopata inatufanya kufanya hivyo! Isitoshe kutegemea uchumi unaoonekana(formal economy) yaani Pesa mbele ambao kiuhalisia ni mfumo wa Kizungu.
Msukuma yupo Sahihi kabisa na aendelee kubarikiwa.
Miswada na Sheria nyingi kwa Nchi zilizoendelea๐ zinawakilishwa kwa kutumia lugha inayoweza kusomeka na wale wenye elimu ya kati ya Darasa la nne na form one! Hiyo ni Kisheria!Kwa elimu ipii? Kwana tofauti ya La saba na Kidato cha nne ni ipiii? Tofauti ya kidato cha nne na chuo kikuu ni ipiii? Vyeti au?
โ๏ธโ๏ธKuna tofauti ya kuwa na IQ kubwa na Level ya elimu,,, kuna watu wangapi mtaani kwako wana taaluma kubwa na bado hawajielewi?
Mfano ukimchukua mtu ambaye ana degree ya afya akawa Mbunge, halafu akiwa Mbunge ikatokea siku Bunge linajadili masuala ya Viwanda na biashara,,, elimu ya afya ya huyo Mbuge siku hiyo itamsaidia nini?
Umewahi msikiliza Mbunge wa Kahama bwana Mashimba Ndaki akichangia hoja? Kwanza inatakiwa uelewe haya wabunge elimu wanayo wamepungukiwa vyeti tu vya elimu ya juu,, Muogope sana mtu ambae hana vyeti ila anamiliki biashara kubwa kubwa maviwanda nk
Kwanini wali lower standards?Wakati umefika ili kuwa mbunge lazima uwe na elimu ya chuo kikuu
Wengine kwa umalaya.Inasemekana Kuna viongozi wamesomeshwa na wazazi wao Kwa pesa ya GONGO,
Yaan pombe ya GONGO NDIO imewalea...
Nakutumia dedication song mbosso_ huyo hapo..Wengine kwa umalaya.
Upo kaka....kwema...Kwanini wali lower standards?
Nimecheka kama mazurMiswada na Sheria nyingi kwa Nchi zilizoendelea๐ zinawakilishwa kwa kutumia lugha inayoweza kusomeka na wale wenye elimu ya kati ya Darasa la nne na form one! Hiyo ni Kisheria!
โ๏ธโ๏ธ
โ๏ธโ๏ธ