Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- Dkt Musukuma ajilipua Bungeni

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11,640
Reaction score
24,066

Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- DKT. Musukuma ajilipua akichangia hoja Bungeni baada ya kuona pombe.

Wabunge waangua kicheko aka waambia wasicheke hata humo Bungeni ni wengi wanatumia.

Amesema sio Dhambi pia kafanya utafiti kua maprofesa na madaktari wengi ni watumiaji baada ya kustaafu.

Hoja ilikua kwanini sisi Watanzania hatuthamini ubunifu wetu mfano GONGO iboreshwe tuna agiza nje ya nchi jack Daniels, Hennessy E.t.c

Pombe kali ikitumiwa vizuri sio Dhambi naunga mkono hoja ya dokta Musukuma

Ni nini maoni yako.
 
Wakati umefika ili kuwa mbunge lazima uwe na elimu ya chuo kikuu
Mm nimeshuhudia baadhi ya Watanzania wachache wenzetu pamoja na kua na ELIMU ya darasa la Saba lakini wana AKILI SANA ZA MAISHA...
SIDHANI KAMA ELIMU PEKE YAKE NDIO IWE KIGEZO...
πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜†πŸ˜†β˜ΊοΈπŸ˜ƒ
 
Yuko sawa

USSR
 
Katiba mpya ije tu
 
Naunga mkono hoja 🀣 🀣 🀣
 
Mkuu
Nani kakuhakikishia kuwa Katiba ya Kenya ni nzuri Afrika nzima?

Ukabila ni kamasi la TB kwao.

Hawa wabunge wangetumia hizi porojo zao kupaza sauti za katiba mpya ingekuwa poa sana
Inasemwa kua Kenya ni Moja ya nchi zenye Best constitutional in africa.....
Pamoja na South africa....

Siku bishii ila kusema ukwel Watanzania Tuna itaji KATIBA MPYA...........😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…