Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kuishi na kuhisi kwamba wenye vyeti/magamba ya shule/vyuo tu ndiyo wanafaa kuwa viongozi bora wa kuistawisha nchi ni upotofu.Siyo lazima.Kwa ufupi.Mkuu tufafanulie japo kidogo ππ€
Sio Dhambi.....wanachaji akili....π€£π€£πNa kamanda Mbowe
Hali mbaya mno unga kilo 4600 ,Sasa katiba hyo hyo umemuweka ruto madarakami lkn huyo huyo ndio anawashindishaa njaaaMkuu katiba sio muamuzi mkuu...mbona Kenya wana KATIBA nzuri Africa alafu wanalia NJAA....
Naungana na wew Kuna darasa la Saba wanachangia pakubwa kisukuma gurudumu la maendeleo kuliko wenye vyeti....Kuishi na kuhisi kwamba wenye vyeti/magamba ya shule/vyuo tu ndiyo wanafaa kuwa viongozi bora wa kuistawisha nchi ni upotofu.Siyo lazima.Kwa ufupi.
True unacho kisema ni ukweli ulio wazi...Hali mbaya mno unga kilo 4600 ,Sasa katiba hyo hyo umemuweka ruto madarakami lkn huyo huyo ndio anawashindishaa njaaa
Changia kidogo maoni yako....duh aiseeee
Ni kweli kabisa mimi mwenyewe nina watu nimesoma nao walisomeshwa kwa pesa za gongo na pombe zingine za asili. Kuipa gongo brand nzuri si kitu kibaya waitambue waiwekee sheria za viwango watu waanze kupiga pesa bila kuogopa mamlakaInasemekana Kuna viongozi wamesomeshwa na wazazi wao Kwa pesa ya GONGO,
Yaan pombe ya GONGO NDIO imewalea...
Kwenye Hilo Kuna hoja alisema yule mbunge MWANAMKE...Ni kweli kabisa mimi mwenyewe nina watu nimesoma nao walisomeshwa kwa pesa za gongo na pombe zingine za asili. Kuipa gongo brand nzuri si kitu kibaya waitambue waiwekee sheria za viwango watu waanze kupiga pesa bila kuogopa mamlaka
90% ya wabunge wa sasa wana elimu ya chuo kikuu, sijui unafikiria utapata nini kwa kuongeza hizo 10% zilizobaki, bora hata huyo musukuma wakati mwingine anaongea vitu vya maanaWakati umefika ili kuwa mbunge lazima uwe na elimu ya chuo kikuu
Kwani umeambiwa na nani kwamba tukipata katiba mpya tusilime?Mkuu katiba sio muamuzi mkuu...mbona Kenya wana KATIBA nzuri Africa alafu wanalia NJAA....
πππ€π€ Police wakikukamata na wenyewe wanainywaaaπ€£π€£π€£π€£ππUtamu wa Gongo unywe kwa kujificha huku una wasiwasi wa kukamatwa na polisi kama bangi vile.
TrueBwana Joseph kasheku musukuma ni moto moto..... *** DARASA LA SABA ILA KAFANYA HIVI NDANI YA MIAKA 5....
1..HOSPITALI KAILETA KATANI BADALA YA KATORO
2.HALMASHAURI IKALETWA KATANI BADALA YA KATORO
3.BARA BARA ZA RAMI USISEME MZEE
4.KILA KAKIJIJI KADOGO KAFUNGUA SECONDARY.
5.KILA KIJIJI KAWEKA ZAHANATI
baada ya mwenda zake huyo jamaa Kwa Kanda ya ziwa anaushawishi hata katika kujenga kitu fulani kawazidi watu wana degree 3 kajamaa la saba ila ni moto mjomba
π€π€ Umeninukuu vibayaKwani umeambiwa na nani kwamba tukipata katiba mpya tusilime?