Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- Dkt Musukuma ajilipua Bungeni

Mkuu wasomi wa nchi hii ndo wanaosaidia nchi yetu kuendelea kuwa maskini na wananchi wake kuwa mafukara wa kutuowa. Namuelewa sana Dr Musukuma.
Musukuma ana hoja sana kuliko baadhi ya wasomi wetu wengi tena wa degree 3😊
 
True but yeye kusema hivo i think baadhi tayari watakuwa washajenga perception tofauti.
Anasema pombe kukitumia sio Dhambi according to yeye.....😊🤓
NDIO maana mlipakodi namba Moja ni TBL period!!
 
Wakati umefika ili kuwa mbunge lazima uwe na elimu ya chuo kikuu
Kishimba pamoja ya kwamba hajasoma sana ana uwezo wa zaidi ya ma profesa 10, na ma dokta 50 kwa pamoja.

Unataka wasomi bungeni kama kina kabudi, ndalichako etc?


Bora tuwe na kina Dr. Msukuma na Kishimba kama 20 bungeni wanatosha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ana uwezo sana, kweli elimu itumike kwenye fani uliosomea ...haina ujusiano na akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kishimba ni mjenga hoja mzuri sana tena kwenye sekta ya ELIMU amekua aki challenge sana mfumo wetu wa ELIMU....
 
Mm nimeshuhudia baadhi ya Watanzania wachache wenzetu pamoja na kua na ELIMU ya darasa la Saba lakini wana AKILI SANA ZA MAISHA...
SIDHANI KAMA ELIMU PEKE YAKE NDIO IWE KIGEZO...
[emoji4][emoji4][emoji38][emoji38][emoji3526][emoji2]
Bungeni kuna kutunga sheria kuna kupitia mikataba je asiye na elimu anaweza fanya hayo?
 
Wauza gongo wawe na umoja, waombe shirika la viwango lipime hiyo gongo, kama Ina viwango iingie sokoni.
Wanasema GONGO Ina methane ambayo ni hatari Kwa afya....
Ila kwakua technologies ime advance wanaweza kuikabili.....

Bukoba Kuna pombe Yao inaitwa (kaitaba) NUMBER ONE A.k.a PURE....

hii uki washa moto inawaka kama kerosene au petroleum 🔥🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…